Recent content by ruhi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia apinga uvamizi wa Israel kwenye ardhi yake.

    Kuna maeneo yalikwepo kabla ya Neno Somalia na kuna watu walizaliwa Somaliland hivyo wanatohaki ya kujitenga na kuishi maisha yao. Viongozi wapuzi wasiyojali maisha ya wengine ndiyo chanzo cha yote hayo. Kipindi cha Mobutu hakutambua kuwa anatengeneza sumu itakayoigawanyisha nchi yake hata baada...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

    Tutawaomba barua za ruhusa siku wakirudi. Kumbe wanaogopa kuhojiwa....kwasasa ile gari ya CDF ya nyota NNE itafichwa ndani ya maji. Rahaa sana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    Chukulia nimemtuma mdogo wangu akuwekee pesa kwenye akounti yako 10m kama tulivyokubaliana then mdogo wangu aka andiko Jina lake moja ya Salman. Wewe unanijulisha kuwa umeona 10m kutoka kwa Salman nakujibu ndiyo imetoka kwangu. Baada ya miaka miwili unaulizwa kama unamfahamu Salman unajibu kuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Watu wanapewa taarifa potofu ilii kutugombanisha ili wauaji watembee huru

    Kwa Kwahiyo watumishi wa Meno kazi yao kuu ni kukandamiza wananchi wanaowalipa Mshahara? Kwanini wasifutwe kazi
  5. R

    JamiiForums Tanzania John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya

    Kwamba watu wote waliokuwekea pesa tokea 2024 unawakumbuka? Tena kwa Jina moja...tena usikute alitumwa na mtu mwingine kuweka hiyo pesa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI Mambo Makubwa 3 Yanaweza Kutokea iwapo hawa Vigogo kutoa Ushahidi Mahakamani

    Kwanza Wakili inaonekana hafuatilii shauri mahakamani kwa umakini. Tundu Lisu baada ya kuwataja mashahidi wake, Upande wa Serikali waliweka pingamizi kwa mashahidi wanne tu (Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na DGIS) hao wengine Bw. Katuga alisema hawana shina nao. Hivyo hawawezi kuweka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    Kwani CHADEMA ndiyo walikosewa? Tusiwe wanafiki wao waendelee na maridhiano kama walivyoendelea na uchaguzi. Simple like that.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

    Yaani kama ameingiziwa pesa leo na mtu asiyemjua, pia yeye amesema kwasababu ya kuoneshwa utajuaje kama huyo Salha sijui ameingiza pesa kwa niaba ya mtu mwingine? Hoja ya Wakili imekaa tenge sana.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nimepewa Passport na Mkuu Tiss !

    Hiyo passport jinsi ilivyochukuliwa ndivyo inatakiwa kurudishwa. Kwani ilichukuliwaje?
  10. R

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    HAwawezi kuzui watu make mahakama ni ya Wazi pia Lissu hatokubali kuendelea na kesi...kazi kwao.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Kipi kitazuia yote hayo yasifanyike dhidi ya CHADEMA? Au mambo gani CHADEMA wayafanye ili yote hayo mawili yasiwakumbe? Na hadi sasa kipi kinasubiriwa ili yatokee.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Lissu alishasema hana cha kupoteza hivyo CDF na IGP watakutana na maswali ya kuonesha umma uwezo wao kama bado wanastahili kuwa sehemu ya viongozi wa UMMA. Magenerali wengine watakaa kwenye social media wakifuatilia majibu ya 4 star wao anavyobabaika kuelezea UMMA Jeshi linavyotekeleza majukumu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Mkuu National Security Act or Tanz LII inaonesha vitu kama Espinange ans subotage, communication of certain information, protection of classified information, Bails, terrorism etc. Ila hakuna sehemu inayompa wakuu wa vyombo vya usalama kama IGP au CDF kutangaza hali ya hatari. Mimi siyo msomi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Heche nae ameshahojiwa na Katuga tayari? Au wewe ni robot
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Article 32 ya Katiba yetu inampa Rais mamlaka hayo siyo CDF au IGP. Kulinda Katiba hata mimi na wewe tuna wajibu huo lakini hatuna wajibu wa kutangaza hali ya hatari kisa tu tuna wajibu ya kulinda Katiba. Sema kifungu gani kwenye katiba inampa IGP au CDF kutangaza hali ya hatari.
Back
Top Bottom