Nendeni pale lugalo.. kujifungua kawaida elfu ishirini.. kwa operation ni laki tatu tu.. huduma nzuri kabisa!..
Hospital nyingine ninayoweza kuthibitisha ubora wa huduma yake ni Rabininsia Memorial Hospital-tegeta.. kujifungua kawaida ni laki tatu na nusu. Na hawatengenezi mazingira ya kufanya...
Hata huko mikoani lowassa anarukaruka kama njiwa. Mfano tanga kuna majimbo 11 yéyé kafanya kampeni majimbo manne ambayo ni tanga mjini.. Korogwe.. Muheza na bumbuli. Magufuli kafanya kampeni majimbo yote. Tanga waliojiandikisha ni 1.3m
Na uongozi mzima wa chadema wilaya ya bunda umejiuzulu kupinga kupitishwa kwa esther bulaya. Nimesikia kupitia taarifa ya habari ya clouds FM. Wamelalamika sana.
Ugomvi wa Diallo na lowassa ulitokana na lowassa kushinikiza Diallo ahamishwe kutoka wizara ya maliasili na utalii na kupelekwa wizara ya mifugo. Hii ilitokea baada ya Diallo kutoelewana na aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa wanyapori tanzania ndugu emmanuel severe. Severe na lowassa walikuwa watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.