Nikaribia wote yaan hata mm nikipiga laga zangu 5 hadi 7 nikiingia road kudrive ninakua na uwezo mkubwa kucotrol chombo na ninakua sahihi kwa kila jambo pia hata nje ya hapo ninawaza na kutenda kwa usahihi tofauti nikiwa sijanywa hivo bange na pombe ninadhani zinaongeza uwezo wa ubongo ika...
Mpaka mda huu mbowe hawezi tena kututoa hapa tulipo baadhi ya mambo ambayo alidhani yangefaa yamefeli, pili mbowe kuna kila dalili ameishaamua kuungana na watawala itakua ngumu kuwakosoa tena
Sasa ndo ujue hata mgogoro wa mashariki ya kati kati ya israel na irani sababu kubwa ni hii yaan irani wanataka waeneze misimamo yao hivo kizuiz ni isirael hata leo isirael akatoweka bado amani haitakuwepo wataendelea kuwafyeka waisiram wa sunn ili wabaki wenyewe
Salama kivip? Irani ni mshia anaona waisiramu wengine kama hawafai bado hata bila ya isirael vita ingekuwepo tu. Ukisemea hamas ni wavamiz tu na wapo kinyume na wapalestina kwan kiongoz wa palestina hagombani na isirael zaid ya hamas
Hivi mnajua vita wanayopigana ilivyo ngumu? Magaid hawa hawana uwanja maalumu wa vita hata nyumba za raia unakuta maroket sasa wewe kama ni netanyau utafanyaje? Yaan unishambulie alafu ujifiche nyuma ya mtoto nikuache uendelee haiwezekani na ngoma hii haiishi leo
Ndugu itakua wewe ni wa buku mbili ama umeoa ukiwa mdogo, hizo ni dalili mbaya wameisha lishana maneno kitakacho fata utachangiwa mpaka wewe uhame nyumba, ni i cha kufanya kwanza mtoto wa kike huyo shemeji alipaswa alale nje alale gest ukiamuka unamfunga mpaka stend anarudi aliko toka , ikiwa...
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.