Recent content by Rugela

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za bima zimegoma kulipa Tsh1.9 bilioni Hospitali ya Taifa Mhimbili (MNH) kutokana na sababu mbalimbali

    Ukienda hospital wanaandika umepima vipimo vyote wakati hujapima,so hospital nyingi wanafanya wizi kupitia bima ya afya
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Sheria inasema wazazi wote wawili wana jukumu la matunzo ya mtoto

    Ni mambo ya ajabu tu yanayofanyika,sheria ya malezi iko chini ya ustawi wa jamii, kuanzia kata mpaka mkoa kuna maofisa ustawi wa Jamii wa serikali,Mkuu wa mkoa anasimamia kuanzia mkoa mpaka kata,je alishandwa kuanzia katani kupanga Watu wasikilizwe mpaka wote waende ofisi ya mkoa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Nauliza tu,je kila Mara anayoyasema yana ukweli au uongo.na lengo lake hasa nini kutangazia umma.anatangaza ili Nani achukue hatua,muda mwingine ni Kama kutengeneza chuki ndani ya Jamii izidi kupasuka na kuleta utengano
  4. R

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Watu 28 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA wafikishwa mahakamani

    Kuna Watu wengi humu wanacoment bila ya kujua maana ya neno wanao tuhumiwa kufanya maandamano. Jifunzeni kidogo kutambua Kazi ya polisi na Mahakama Kabla ya kuchangia
  5. R

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Daah, haya maneno yana ukweli Kabisa, Diaspora wa US wanajua mengi
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaonunua silver mbovu pamoja na dollar wanazifanyia nini?

    Kuna mtu anapita anatangaza mtaani kuwa ananunua silver mbovu pamoja na dollar, je anakwenda kuzifanyia shughuli gani hizo pesa mbovu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kenyatta: Sie 100% recurrent budget yetu tunalipa mishahara tofauti na Tanzania wao 40% ni misaada

    Wanawake ndiyo wana misemo Kama ya kwako
  8. R

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma mbaroni wakidaiwa kupanga kuhujumu vikao vya CCM

    Kuna Watu wako nyuma Kabisa katika kuchambua mambo, niwaulize raia wa Tanzania anatambulika kwa rangi yake au maumbile yake?,je nini maana ya neno raia
  9. R

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: CHADEMA wakileta wale wale wakakataliwa tutabadili kanuni tuwape wengine

    Kwani hata Kama chadema watakosa Nani atapata hasara, Kwani Kule wanagombea kiongozi chama au maslahi ya nchi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Haki ya kuandamana

    Safi sana, kuzaliwa nalo siyo tatizo, na kwanini usiache nature ifanye Kazi yake
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bashe kuongea na vyombo vya Habari, ni kueleza ukweli na kukanusha upotoshaji unaoendelea

    Acha ubaguzi wa kimaskini, Raia Kwani wewe ni raia wapi, acha Hizo, utachimbwachimbwa mpaka ukimbie nchi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine wanasiasa wawe wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa hakuwa na ziara rasmi Tanzania

    Wewe umewahi panda Swiss flight au umewahi Fanya stop over yeyote, ningependa hili kukaa Liwe na Watu Wenye uelewa wa mambo, Swiss flight from Nairobi to dar inachukua masaa mangapi, ukijibu hilo ntakuelimisha
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine wanasiasa wawe wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa hakuwa na ziara rasmi Tanzania

    Wewe unaangalia online, Mimi nimesafiri na Swiss toka dar back to dar recently, Kumbe unaandika Mada kwa kugoogle information Halafu bado unabisha tu,Halafu nikusaidie kitu, abiria wengi wa Swiss flight wanashuka na kupanda Nairobi na nikuulize, ndege huwa inafanyiwa usafi Ikiwa dar au Nairobi?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine wanasiasa wawe wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa hakuwa na ziara rasmi Tanzania

    Umedanganya,Swiss air huwa inashusha abiria wa Kenya na kupeleka abiria wa Tanzania tu mpaka dar, hupakia abiria wapya dar na Kurdi tena na kupakia abiria tena Nairobi,na pia piloti na wahudumu wa ndege huwa wanashuka na kuingia wengine Ikiwa Nairobi,so katibu Mkuu alipandia wapi ndege
Back
Top Bottom