Bashe kuongea na vyombo vya Habari, ni kueleza ukweli na kukanusha upotoshaji unaoendelea

Bashe mwenyewe kakanusha kama unampinga Bashe mwenyewe tutendee haki, tuwekee hata chembe ya ushahidi itakayo unga mkono hoja yako. Zaidi hapo hii mijada hapa itapoteza maana. Itakuwa inatawaliwa na hisia!
 
Lizaboni mke wangu mbona uliniahidi kwamba Bashe na Membe hawachomoki? Sasa yako wapi?
 
Back
Top Bottom