Recent content by Rufiji dam

 1. Rufiji dam

  Yupo wapi Angela Kairuki?

  Napinga kwa nguvu zote unamjua Daktari Blandina Kilama yule yupo hapo alipo bila kutegemea mwili wake kama ngazi ya kumpa mafanikio
 2. Rufiji dam

  Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

  Magufuli angejua angekufa angekuwa na wema kiasi kwa Wapinzani. Huyu Prof. Joyce amesahau yule mzee alijitoa kwa hali na mali juu yake sasa hivi wote wamemgeuka kuanzia uvaaji wa barakoa mpaka mengine. Ni fundisho kubwa. Nisalimieni Kabudi.
 3. Rufiji dam

  Yuko wapi mwekezaji wa treni wa Mwakyembe?

  Mwakyembe akapewa na saa
 4. Rufiji dam

  NEMC: Kunywa bia na kufanya sherehe na matamasha kwenye fukwe ni makosa kisheria

  Hao NEMC hawajitambui.. Kimara Bonyokwa kuna Bar inaitwa Ra CASA inapiga ngoma kama wamerogwa. Kisa tu Prof. KITILA sijui ya ndugu yake wala hawaheshimu utu.
 5. Rufiji dam

  Yuko wapi mwekezaji wa treni wa Mwakyembe?

  Hii nchi kama tumerogwa kila kiongozi anakuja na vibweka vyake. Yu wapi yule mwekezaji wa kutoka USA kuja kutandika mataruma ya reli ya kisasa.
 6. Rufiji dam

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Kenyatta kakutana na Biden Kenya inatembelewa na mtu mkubwa wa Marekani huku Tz hakuna kitu. CCM na wewe ndio imeitumbukiza hii nchi kwenye tope. Waza kwa kutumia akili.
 7. Rufiji dam

  Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

  Huku mpaka wadada wa kimasai wanatoa utumbo...unguja kuna kimoja kinaitwa ki Mwaju kinatifuana kama cherehani hiki kinatembeza tundu mpaka Uturuki.
 8. Rufiji dam

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Unaandika kwa kutumia utumbo mkubwa na wala sio bongo
 9. Rufiji dam

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Umeandika kwa majonzi sana na mabeberu wanamlia mingo tu. Angalia Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kaishia Kenya tu. Hapa hawaji.
 10. Rufiji dam

  Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

  Huyo sasa mzima hivi unawajua Waarabu ww wameshajipimia wameona viruwiruwi. Anasingizia sijui msosi na hali ya hewa.
Top Bottom