Recent content by Rufaro

  1. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

    Ibilisi wa bongo [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

    Mkuu hii nchi ina pesa , mtu anakuambia "yani hizo bilioni mnazoniuliza nazo kila saa ni hela ya mboga tu", au mwingine anashuka na gadhabu uwanja wa ndege, "yani mnanisumbua na hivyo vijisenti(bilioni ) "? Kwaio hizo milion 500, 890, 700, ni pesa za kawaida za kununua boksa au soksi tu.
  3. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Wako tuliowafunga kamba tumewaacha Wazurule, lakini tukiamua kuvuta kamba tunamalizana nao

    Mmetoka shimoni huko mnaanza kumjibu Bashiru kila mtu anakuja na nahau au methali zake, leo mkwe wa rais, kesho tutawasikia na wengine Anyway sisi kama wananchi jukumu letu ni kuendelea kuomba mpigane visu live kwenye TV mtuite tunywe damu zenu.
  4. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Wako tuliowafunga kamba tumewaacha Wazurule, lakini tukiamua kuvuta kamba tunamalizana nao

    Kama hana nguvu, kelele zote hizi na methali za kamba sjui nini zinatokea kwanini, ? Hadi sasa zaid ya watu wa ccm 50 wshamjibu na bado wengine wanatarajiwa kujitokeza.. Sisi tunataka WAUWANE TU na KULANA NYAMA ZAO WAOKWAWAO
  5. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Wako tuliowafunga kamba tumewaacha Wazurule, lakini tukiamua kuvuta kamba tunamalizana nao

    [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha aya za mwisho.
  6. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji umeme wenu

    Endelea kukalisha mapumbu hapo kwa shemeji mana atakununulia jenereta uangalie tamthiliya na bongo muvi.
  7. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kweli kabisa ...mbaaaavuu !
  8. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji umeme wenu

    Dah kati ya siku nilizokwazika ni leo. Yani tumekaa na wazee tunapiga maji ya mende tunasubiri mechi ufunguzi wa kombe la dunia, mnatukatia umeme? Halafu mlivyo ma roho mbaya kama za wachawi ( wanga) mnakata pale timu zinaanza kuimba nyimbo za taifa? Hio kesho wawakilishi wa afrika Senegal sasa...
  9. Rufaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

    Unampa sifa kiaina unadhani atakuvulia chupi?
  10. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ukiwa unaangalia Kombe la Dunia

    ...
  11. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Tbc ipi mkuu? Ni washenzi tu hawana pesa za kuonyesha.
  12. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Wewe kweli una STRESS.
  13. Rufaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Are u mentally sick?
  14. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
  15. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Maigizo yanaendelea Taifa muda huu kati ya Ruvu dhidi ya Simba

    Kama alivyo darling wenu mayele.
Back
Top Bottom