Rufaro
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 221
- 345
Kama alivyo darling wenu mayele.Kwaiyo chama ndo mungu wenu bila uyo ni amna kitu
Kama alivyo darling wenu mayele.Kwaiyo chama ndo mungu wenu bila uyo ni amna kitu
Kwan Boko ni mama yako mpka umshangae kufunga?Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga [emoji23][emoji23]
Yaani wachezaji wa ruvu ni kama wamefungwa Mawe mguuni
Haya kila la kheri Mtaani katika igizo lenu mda huu taifa