Recent content by RUDVANNESTROOY

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Msaada kwa mtu yeyote anaye jua Biashara hii ya Vinywaji vikali na Luxury (mf. wisk na wine) Naomba anieleweshe kwa kina.Mimi nipo hapa Dar na mtaji wa million 5. Vitu ninavyohitaji kufahaumu kwa kina ni:- 1. Mtaji wa kuanzisha duka la biasahara hii (initial capital. 2. Mazingira yanayo faa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PPF wameita interview

    Trainee
  3. R

    JamiiForums Tanzania PPF wameita interview

    Jamani kwa anae jua aptitude test za PPF zinavyokua au zina base on what, anisaidie kwa kunipa HINTS.
  4. R

    JamiiForums Tanzania PPF wameita interview

    Mkuu ni eneo gani interview inafanyika,Na ni muda gani inaaanza? maana mm sijasikia vizuri. Hivi Aptitude test zao zina base sehemu zip?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Masters study!

    Acha uswahili, elewa swali kama hujui kaa kimya kwani sikuhitaji coments bali nilihitaji anaye jua ndio anieleze.Acha kimbelembele utabakwa............
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Post Graduate Diploma na Masters zinalingana?

    Wewe si KILAZA ndio maana huwezi jua. kama vip igilizia.Na hako ka elimu kako si umepata kwa kupiga chabo. Mzee wa kukopi na kupesti........................ni Bonge la kilaza hadi akili zimezeeka,,,,............
  7. R

    JamiiForums Tanzania Masters study!

    Kampala-Dar
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Post Graduate Diploma na Masters zinalingana?

    Kwa anaye fahamu hili naomba anielewesha tafadhali. Hivi kwa mtu mwenye level ya elimu ya post graduate diploma au masters mishara yao ni sawa au tofauti? Kwa anaye fahamu kwa kina zaidi naomba anieleweshe zaidi hasa kwenye taasisi za serikali na makampuni binafsi.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Masters study!

    Jamani wana JF kwa anaye fahamu kuhusu hili anieleweshe:Hivi kuna madhala yapi kama umepata usaijili wa kusoma Post Graduate kwa chuo ambacho kilizuiliwa kutoa Masters na TCU kwa sababu ya kutotimia vigezo vya kuwa na walimu wa kutosha wa kufundisha POST GRADUATE lakini wao wanaendelea kudahili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    Wachunguzwe haraka sana,kwani walianza kuonesha dalili za ufisadi tangu wakati wa usimamizi mpaka wakati wa matokeo.YAAANI NI MADUDU TUPU YENNYE HARUFU MBAYA.hii nchi kweli kuna UPANYALISM.Hivi kupambanda na RUSHWA INAANZA NA WEWE AU NA MIMI. Napendekeza machakato uanze upya kwani kuna...
  11. R

  12. R

  13. R

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira sina imani nao tena..!

    Kwa malalamiko yako sawa ila kwa ushauri wako wa kusema kua ziludishwe huko chini ni ovyo.Unajua tuwe wa kweli hawa jamaa wamejitahidi sana ktk kusimamia na vijana wengi ambao hawa baba wala ndgu wa kuwa beba wamepata ajira.Hivyo hizo ni changamoto ndogo ndogo ammbazo zinasababishwa na serikali...
  14. R

    JamiiForums Tanzania pccb usimamiz majanga

    Ndio, na ndio wengi watakao perfom coz walikua wanajua maswali yote na kuwa na uhakika wa kitu gani wanaenda kuulizwa na majibu yake.Kama ni uongo fuatilia majibu au nenda kaulize walio sahihisha watakupa haya ninanyo kuambia
  15. R

    JamiiForums Tanzania pccb usimamiz majanga

    Mimi nashauri paper iludiwe kwa kuzingatia yafuatayo: 1.Aptitude Test isimamiwe na PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) wana uzoefu wa usimamizi na wapo seriouis na kazi, 2.Mahali pawe DUCE ambako idadi yote ya watu 3000 itatosha, 3.Majina yabandikwe ubaoni na namba zake ili kila mmoja...
Back
Top Bottom