sababu ya mzigo kilo 35 alitoa taarifa ( kpap ) kilimanjaro porter association ndo maana akafanyiziwa sisi tupo nao huku mlimani tunayajua haya lakin ahsante tours inalindwa na mkuu mmoja kinapa anaitwa mombo. Mliyosema wazewe niya...
ni kweli kabisa mimi mwenyewe nlikuwa nafanya kazi hapo. Niliondoka nikaacha nimerudi company za home arusha.. Kuna matatizo mengi wafanya kaz wana pata hususan wapanda mlima.
Natafuta girlfrend kweli nipo real, jaman mi kijana wa kitanzania nlie mpweke natafuta wa kuntoa upweke jaman, haya sifa awe mkaz wa arusha au mosh, napia asizid miaka 22, schangui din wala kabila
Kweli hii kesi, anageuziwa lema, rc jipange huku watu tumefunguka, badilisha kauli. Kumbuka lema tumechagua sisi wananchi, we umeteuliwa na mwenyekiti wenu wa ccm, si hata atukujui kabla rc arusha ulikuwa nan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.