Recent content by RUCCI

  1. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz huna cha kutubadilisha Watanzania hiyo Press yako ni kutaka tu kujichafua zaidi

    Chief tutafutane. Sikupati Whatsapp
  2. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli unataka ‘ Uthibitisho ‘ gani tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Ndugu Makonda ni ‘ Bomu ‘ hatari unalolifuga?

    Niko jijini chief, tutafutane tupange mikakati.
  3. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji tani kadhaa za Maharage aina Ngwala

    Unazo ngapi?
  4. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji tani kadhaa za Maharage aina Ngwala

    Habarini badungu, nina shida na tani zaidi ya 10 za maharage aina Ngwala. Mwenye uwezo wa kunipatia tafadhali tuwasiliane PM. Natanguliza shukrani.
  5. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Vipi hapa mzee imekuwaje tena umemeza maneno yako?
  6. RUCCI

    JamiiForums Tanzania DAR: Police seize 'most wanted' suspected drug trafficker, know as 'Kiboko'

    A man who police say is a “most wanted leader “of a heroin trafficking ring operating between Tanzania and China yesterday surrendered to authorities after an intensive two-week manhunt. Mr Ayubu Mfaume, alias Kiboko, presented himself at the headquarters of the Drug Control and Enforcement...
  7. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Volkswagen Inks Deal to Build Assembly Plant in Rwanda

    Umeniacha hapo Mkuu sijakuelewa bwana yule ndio nani?
  8. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Critical minds in Tanzania have a hard time with Magufuli

    Ten years ago, a Kenyan cartoonist caused an uproar when, in one of his drawings, he depicted Tanzanian journalists licking the feet of the president at a press conference — instead of engaging him with questions. The president was Jakaya Kikwete, a self-styled friend of the media, who enjoyed...
  9. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Watumishi TRA wafikishwa mahakamani kwa rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU imewafikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, maafisa wawili pamoja na kibarua mmoja wa Mamlaka ya Mapato nchini TRA kwa makosa matatu ya kuomba na kupokea rushwa. Wakili wa TAKUKURU Bw. Lupyana Mwakatobe ameiambia...
  10. RUCCI

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Gambia – AU yamtaka Rais Yahya Jammeh, kuheshimu matokeo ya Uchaguzi

    Sakata la Uchaguzi Mkuu wa Gambia linazinazidi kuchukua sura kila uchao kufutia Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU),Rais Idris Derby wa Chad,na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja huo Nkosazana Dlamini Zuma,kutoa tamko zito la kumtaka Rais,Yahya Jammeh,kuheshimu matokeo ya Uchaguzi. Katika taarifa...
  11. RUCCI

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wimbi la utupaji watoto wachanga wenye umri wa siku 1-12 laongezeka

    Wimbi la utupaji watoto wachanga wenye umri wa siku moja hadi kumi na mbili kwenye maeneo ya karibu na hospitali, mitaroni jalalani na kando ya vituo vya kulelea yatima limezidi kushika kasi katika mkoani wa Arusha ambapo kwa kipindi kifupi inadaiwa zaidi ya watoto themanini wameokotwa na...
  12. RUCCI

    JamiiForums Tanzania LHRC: Hali ya Haki za Kiraia na Kisiasa nchini hairidhishi

    Katika kuadhimisha siku ya haki za binadamu ulimwenguni, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) kimesema hali ya haki za msingi za kiraia na kisiasa imezidi kuwa mbaya kwa wastani tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kufuatia uanzishwaji wa sheria mpya ambazo huleta vikwazo...
  13. RUCCI

    JamiiForums Tanzania President of Liberia, Ellen Johnson Sirleaf refused entry into Gambia

    Ndege ya Rais wa Liberia, Bi. Ellen Johnson Sirleaf imekataliwa kutua nchini Gambia. Taarifa hizi zimethibitishwa na Waziriwa Mambo ya Nje wa Senegal akiongea na radio moja nchini mwake. Ndege ya Bi. Sirleaf ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi(ECOWAS) imekataliwa...
Back
Top Bottom