Recent content by rubibiman

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere Anatukuzwa Bure Kama mtu aliyetafuta uhuru Peke yake!

    Huyo nyerere alikuwa ni Mnafiki ambaye alikuwa anaamini mawazo yake tu ndio yako sahihi na ukija na wazo la kumshauri inakula kwako,Unaweza kupotelea pasipojulikana,Halafu nasikia alikuwa anaitwa Mr.Haambiliki
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anesoma Uturuki

    Duh! Hapo meals zote ni juu yako? Au kuna offer ya one meal? Sent from my SM-T561 using JamiiForums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anesoma Uturuki

    Monthly
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anesoma Uturuki

    Kama heading ilivyo naomba kujua kuhusu hii allowance inayotelewa ya 950 TL Serikali ya Uturuki, je inatosha kwa matumizi kweli, kwa mtu mwenye majukumu mengine nyumbani?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida gani kupeleka ubalozi wetu Sudan?

    Sudani na Tanzania ni Nchi ambazo zina historia ya ushirikiano ambapo 1962 ,mwaka mmoja tu baada ya kupata Uhuru kila Nchi ilifungua ubalozi wake,Tanzania ilifungua Khartoum-Sudan na Sudani ilifungua Dar-ssalaam Tanzania. mwaka 1985 Tanzania haikuwa na balozi Nchini Sudani mpaka sasa ampapo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba internship kwa sekta ya afya.

    Tuko pamoja sana mkuu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba internship kwa sekta ya afya.

    Mkuu trigeminal kuuliza ni kutaka kufahamu na pia sio wote tumesomea Tanzania.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba internship kwa sekta ya afya.

    Wakuu mimi ni mhitimu wa shahada ya Maabara za afya (Health Laboratory Sciences),naomba kufahamishwa utaratibu utumikao kutuma maombi ya kujiunga na mafunzo kwa vitendo(internship) hasa kwa wahitimu wa taaluma ya Maabara za afya. N.B Japokuwa wizara ya afya imesitisha zoezi la utumaji wa maombi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

    Ni aibu,jinsia moja kutifuana ni ngumu ila tofauiti shetani anakuwa karibu mama Faiza foxy hata maadili ya watu wa dini nadhani hayaruhusu mpango huo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Huyu muha hafai kabisaa..si ndo alisema eti kwenye mtihani wa a-level islamic knowledge 2012 baada ya kubanwa na mjahidina eti kompyuta zilisala ha!ha!ha!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

    jamaa yuko vzuri sana
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Mapendekezo yote mnamrudishia mawaziri wa mkapa na kikwete..
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    8.Hamim Gwiyama
Back
Top Bottom