Recent content by RubenM

  1. RubenM

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kukata watu makoromeo yaendelea kutikisa Wilaya ya Bukoba

    Kweli humu kuna watu aina mbalimbali... Eti nani akuskie lol, huu uwanja wa wengi
  2. RubenM

    JamiiForums Tanzania Ipad 64GB kuanzia 2nd version, cellular inatafutwa leo

    0714574749
  3. RubenM

    JamiiForums Tanzania Ipad 64GB kuanzia 2nd version, cellular inatafutwa leo

    Uza upate hela
  4. RubenM

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Akili ni nywele.... Unajua sitta ni mfanyakazi wa serikali kwa miaka mingapi? Ngazi gani? Mshahara gani? Aaaahahahahaha asingekuwa na mahali bora pa kuishi angekuwa ----- maana mishahara yote tangu sijazaliwa angekuwa ametupa chooni, achilia mbali mafao, malupulupu,biznes zake .... Acheni mawazo...
  5. RubenM

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Mmmmmh eti kufuru🏃hiyo nyumba ni kufuru? Ngoja wakuonyeshe hao majambazi wenye kufuru za kweli.... Acheni mbwembwe, unasema kufuru ya mtu mwenye upeo wa kujua thamani ya mahali pa kuishi au uhalali wa kuipata? Sijaona logic #uhalali ndio ishu, kachunguze kama si halali ndio upost tena
  6. RubenM

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Njaa ni mbaya inafumba macho, huwezi tena kujali taifa lako ila tumbo... Baadaye hawa hawa huwa wanaanza kulalamikia ooh huyu rais aah rushwa imezidi mara eeeh uwezo mdogo wengine mafisadi waliotoa hela za kampeni ndio wanaongoza nchi kwa mikataba na zabuni nono .. #yatafuata
  7. RubenM

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujitoa kutoka katika mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa

    Machaguo yapi hayo zaidi ya NHIF?
  8. RubenM

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb-m pesa ni tatizooo sanaaa
  9. RubenM

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl. Kutoka mpanda(0788248889 na 0714574749) anahitaji kuhamia mbeya vijijini... Yeyote anayehitaji kuhamia Mpanda kutokea mbeya vijijini, namba hizo hapo juu...
  10. RubenM

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna Mwalimu mpanda(elimu ya msingi) anahitaji kuhamia mbeya vijijini... Aliyeko mby vijijini anayehitaji kwenda mpanda 0788248889 na 0714574749
  11. RubenM

    JamiiForums Tanzania Waislamu Msikubali utapeli huu wa Kisiasa( Angalia Danganya toto iliowekwa ndani ya Rasimu ya CCM)

    Eti wanaopinga wanaUdini, lol .. . kuna anayepinga uwepo mahakama ya kadhi? Inakataliwa kuwa na Uhusishwaji wa dini nyingine kwenye hiyo mahakama..
  12. RubenM

    JamiiForums Tanzania Waislamu Msikubali utapeli huu wa Kisiasa( Angalia Danganya toto iliowekwa ndani ya Rasimu ya CCM)

    Kweli upeo huu ndio wanaongea sana..!! Maana vinalinganishwa vitu tofautiii.... Hivi hakuna ubalozi wa nchi za kiislamu Tanzania? Alf mbona hawataki kuhusika na taratibu zao wenyewe?? Mimi sitaki kuhusika na utaratibu wako, sitaki kuhusika na OIC maana malengo ni kuitangaza na kuieneza dini...
  13. RubenM

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi italipasua Taifa

    Hivi dini zinafundisha matusi??? Iweje mtu aongelee dini na matusi juu???? Nna wasiwasi na #DINI ZINGINE
  14. RubenM

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuna Waziri wa Afrika Mashariki ila hatuna Waziri wa SADC?

    Muundo wa Africa Mashariki na SADC hasa kwa Tanzania ni tofauti sana, kuna Biashara, Utawala, Kijamii, na Siasa
  15. RubenM

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuna Waziri wa Afrika Mashariki ila hatuna Waziri wa SADC?

    Majibu yenye maana na maelezo yanafaa kuliko hivi "haina maana kuwa na wizara" .. Eleza kwanini haina maana
Back
Top Bottom