Habari za jumapili wanajamvi,nataka kujitoa ktk mfuko tajwa hapo juu,lakini sijui namna ya kujitoa. Kwasababu hata kuingia,sikuingia bali niliona tu naanza kukatwa pasipokujua mkataba wake upoje.Msaada tafadhali kwa anayejua.
Kwa nini ujitoe? Sheria ya ajira ya sasa kama umeajiriwa serikalini basi ni lazima uwe mwanachama wa mfuko wa bima ya afya (utakaochagua mwenyewe, na kuingizwa mfuko wa bima ya afya wa Taifa kama hauna na haujachagua). Hapa unachoweza kufanya ni kubadili mfuko tu kama hauridhishwi na huduma zake ila kujitoa moja kwa moja haiwezekani (kama ni mfanyakazi wa serikalini)
Asante kwa maelezo mazuri mkuu,je,ni machaguo yapi hayo mkuu?
Machaguo yapi hayo zaidi ya NHIF?
Kwa kweli NHIF wana gharama za chini sana. Na pia coverage yao ndiyo kubwa kuliko mfuko wowote hapa nchini. So sijui kwa nini mleta mada kafikiria kujitoa.Kama ni mfanyakazi wa serikali, huna option zaidi ya kuwa mwananachama wa NHIF. Pengine kwa vile hujui adha za mfuko wa NSSF ndiyo maana unajaribu kufikiri kama unaweza kuwa mzuri. Nikuhakikishie kuwa NHIF ndiyo mfuko bora pamoja na mapungufu unayoyaona.
Kama ni mfanyakazi wa serikali, huna option zaidi ya kuwa mwananachama wa NHIF. Pengine kwa vile hujui adha za mfuko wa NSSF ndiyo maana unajaribu kufikiri kama unaweza kuwa mzuri. Nikuhakikishie kuwa NHIF ndiyo mfuko bora pamoja na mapungufu unayoyaona.
Habari za jumapili wanajamvi,nataka kujitoa ktk mfuko tajwa hapo juu,lakini sijui namna ya kujitoa. Kwasababu hata kuingia,sikuingia bali niliona tu naanza kukatwa pasipokujua mkataba wake upoje.Msaada tafadhali kwa anayejua.