Recent content by rsika

  1. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuongeza uume

    Nyie viumbe nyie bado mnafikiria kuongeza uume na haya maisha ya magu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Kweli tunaingia gharama sana tena sana maana jimbo moja la uchaguzi ni karibia 12 billion sasa hawa wanasiasa wapumbavu wanachezea kodi zetu
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Steve na Leo dry nini mkuu
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Steve Leo jitahidi Mkuu usifanye kama Jana
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia(CUF) ajivua uanachama na ubunge na kuhamia CCM

    Wananchi hatuwezi fanya huo upupu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tuliopokea Increment ya pili tukutane hapa

    Wamekuongezea shlng ngapi mkuu
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Steve Siku za weekend kama hizi fanyaga hata series NNE hiv Mkuu, Halafu kama ipo kwenye hard copy tunaweza ipataje mzazi,I mean tununue
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

    Baada ya kuvunja lain utagundua je ni yule jamaa huwa anamfuata mkeo au ni mkeo humtafuta huyo ex wake baada ya hapo utajua cha kyfanya
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Steve ulichotufanya jana Mkuu mpaka basi yaani watu mpaka asubuhi hii tunaangalia kama ulitupia lakin hola
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za wanaume warefu kuanzia futi 6 na kuendelea

    Angewawahisha hawa wadudu mambo mengi hayangekuw hiv Maana hawa ndo viumbe kanganya mambo
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli kuondoa kero sugu za wananchi yazidi kuwavutia wengi

    Kero gani ameondoa mkuu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, mama Samia amefungua milango ya kwenda kumtazama Tundu Lissu hospitalini?

    Kabonde vip ndugu mbona unaongea mambo ya uongo Mzee Unasemaje walikula michango Wasemaje lisu anaoza Wasemaje selikari inalipa gharama Achen uongo na uchochezi
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Siku nyingine steve uwe unatushushia hata tatu au nne maana haziishi utamu hizi kitu
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Jaman mwenye namba ya steve ampigie Sent from my itel it1701 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom