Recent content by RRD

  1. R

    JamiiForums Tanzania Fitting mechanics

    Nauliza mweny uelewa na hii kozi ya fitting mechanics inahusu nn hasa mambo ya gereji au mitambo??? Msaada jaman Na soko lke la ajira lipoje
  2. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Naomba bei ya hizo mbili pamoja na picha zke Tafadhali mkuu
  3. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Na pia LG home theatre n bei gn nitumie na picha ya TV na hiyo radio
  4. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    LG inch 43 bei gn ya kwaida sio smart ila iwe full HD
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Ninataka glass protecter, cover, USB na chaji nope bei
  6. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Home theater zipo za aina gn na bei yke
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jipatie Rozari original za silver kutoka Italy

    Ee Yesu mwem utukinge na moto wa milele uongoze roho zote zilizomo toharani uzijalie uzma wa milele
  8. R

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mwalimu wa kufundisha masomo ya Art (HGL)

    geography& kiswahili
  9. R

    JamiiForums Tanzania NBS wadadisi wa mapato na matumiz kwa kaya binafsi.

    Kweny kituo tulichoomb tulikua 3 ss kati yetu watu watatu msichana alikua mmoja (Grace) majib ya interview hakuna hta mmoja kati yetu tuliofany interview aliyepita kaja MTU tofaut kbsaa ambae hakufanya interview wala jina lke halikuwepo anaitwa( MARIAM ALLY) kituo cha igoma mwanza Ss ndg...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie Ajira za NBS -Wadadisi Takwimu

    Usaili mwez mzma bila majibu, Wiz mtupu sio mbeya hta kwetu wapo
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda za udadisi takwimu NBS

    Zenywe n za utafiti wa mapato na matumiz ya kaya binafsi 2017/2018 usaili ushafanyk lkn hakuna majibu mpk sasa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda za udadisi takwimu NBS

    Nauliza kwa wale waliofanya interview ya oral majibu tayar au bado maana SKU zmekua nyngi n kimy tu mm npo mwanz VP huko mikoa mingne
  13. R

    JamiiForums Tanzania Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

    Vp mm nataka kufata rasta,weaving na wigi nipe direction
  14. R

    JamiiForums Tanzania NBS Mwanza Toeni ya Wadadisi HBS, kama DSM

    Ase ss huku mwanza n km week ya 3 toka oral interview ifanyike lkn kimy had sasa, ww vp huko majina yametoka mkoa gn???
  15. R

    JamiiForums Tanzania NBS Mwanza Toeni ya Wadadisi HBS, kama DSM

    Mmh kwan majibu ya oral tayar nchi nzima
Back
Top Bottom