Recent content by ROZAVEC

  1. ROZAVEC

    Kuelekea kumpata Katibu mkuu mpya wa CCM na kama Rais Samia bado anandoto za kuendelea kuwa Rais basi afanye hiki alichofanya Hayati Rais Magufuli

    CHAMA CHA MAPINDUZI KINAAMINI KATIKA DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA NA NJE YA CHAMA HIVYO BASI KILE AMBACHO CHAMA KITAONA KINAFAA ILI KULETA TASWIRA NZURI NDANI NA NJE YA CHAMA KITAFANYIKA; HIVYO ASIPIGIWE MTU PROPAGANDA ZA KUPEWA NAFASI NDANI YA CHAMA KINYUME NA UTARATIBU WA CCM: MIMI NAAMINI KAMA...
  2. ROZAVEC

    Kabudi na Lukuvi hawapo kwenye mfumo rasmi wa shughuli za serikali. Ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi

    WANAJIPIGIA TU HELA ZETU Wkati WENGINE hata ajira hakuna ,. IPO SIKU MUNGU ATATUAMULIA HIZI TABU
  3. ROZAVEC

    Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    WAMEPIGWA CHINI ANAWAPOZA BAADA YA KUONA KELELE NYINGI
  4. ROZAVEC

    NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

    CHUO KIKUU Kuna kozi ya KUSOMA inaitwa ENVIRONMENTAL BIOLOGY ILE KOZI INA MAMBO MENGI SANA JINSI YA KUENDESHA VIWANDA NA MIRADI YENYE ATHARI ZA KIMAZINGIRA hasa kwa binadamu na wanyama
  5. ROZAVEC

    NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

    UCHELEWESHAJI MUDA MWINGINE UNACHANGIA NDIO MAANA RAISI WA AWAMU YA 5 ALIKUWA ANAHIMIZA WATU WAJENGE HUKU WANAFATILIA TARATIBU ZINGINE KUTOKANA NA UCHELEWESHAJI
  6. ROZAVEC

    Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

    MOJA YA WATU WAPUMBAVU WEWE WA KWANZA : SASA HUYO UNAYE MTETEA NA ALIOWAZULUMU NAFSI ZAO NAO IWAJE KWANZA,: ADHABU HAITOSHI HUYO ANATAKIWA AFANYIWE UBAYA AMBAO KILA MTU AKIONA ATAJIFUNZA. HAKUNA MSAMAHA HELA ZILIVOKUWA NGUMU ENZI UTWALA HALAFU KICHAAA MMOJA ANAZULUMU HAIWEZEKANI NASEMA RAISI...
  7. ROZAVEC

    Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    TUTAFANYAJE WAO NDO WENYE MALI WENGINE TUSHAJIKATIA TAMAA TUNAPAMBANA NA MAISHA YA KAWAIDA USIJE UKAFA KISA KUONGEA. HATA WATUDANGANYE MUNGU ANAWAONA IPO SIKU MUNGU ATAMCHUKUA KILA MMOJA ATENDA KUJIBIA MACHOZI YA MAELFU YA WATANZANIA WANAOKOSA AJIRA WAKATI SHULE ZINAJENGWA AJIRA ZINAPUNGUA
  8. ROZAVEC

    CCM: Vijana wamesanda, Wazee tuko imara. Msamaha haulazimishwi!

    HAMJUI 2020 INAKUJA HUU NDO MDA WA KUNYENYEKEANA, HALAFU HAPO KUNA MAWILI MTU ANAWEZA OMBA MSAMAHA ILI KUKUPOTEZEA MALENGO YA KUJUA MIPANGO YAKE. MSAMAHA MUDA MWINGINE HUWA UNASHIDA NDANI YAKE KUUTAFSIRI. REMEMBER ' POLITICS IS THE GAME OF TACTICS.
  9. ROZAVEC

    Mwenyekiti wa Simba SC, Saidi Mkwabi ajiuzulu

    NIMEFURAHI ALIVO ACHIA NGAZI KWANZA AMECHELEWA SANA MTOBOA MTUMBWI
  10. ROZAVEC

    “Operesheni Mauaji” 1976 vs "Operesheni Tokomeza" 2013

    isikiie kwenye mitandao tu lakini pindi ikitokea ndugu yako amepata ukilema kwa sababu ya mtu ambaye anatembelea V8 HAAAA SIJUI ITAKUWAJE?
  11. ROZAVEC

    “Operesheni Mauaji” 1976 vs "Operesheni Tokomeza" 2013

    kuna wakati inatakiwa kila mmoja ayaangalie maisha na uhai wake mwenyewe kuliko kusubiri mtu asiyekujali
  12. ROZAVEC

    UTABIRI: 2020 kama Rais Magufuli atashinda uchaguzi, Tanzania itaingia katika rekodi ambayo haijawahi kutokea

    KAMA UJASILIAMALI NDO DILI BILA MITAJI MAHUSUSI VIONGOZI WETU WAJIUZULU WAWACHIE WENGINE HALAFU WAO WAFANYE UJASILIA MALI KWANZA. NILIWAHI KUTANA NA MWALIMU WA UJASILIA MALI HAJUI HATA KUUZA KARANGA ETI ANATAKA ALIPWE AFUNDISHE IVI...... NGOJA TUACHE TU INAKERA SANA ILA SIO MBAYA NGOJA NIHAKIKI...
Back
Top Bottom