Recent content by Roycce

  1. Roycce

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naimani ataanza!!
  2. Roycce

    JamiiForums Tanzania Uzi wa visa vya usiku wa giza/usiku wa manane

    Ilikuwa miaka sita iliopita nikiwa nasoma nairobi masomo yangu ya sekondari.Nilikuwa na rafiki yangu mmoja aliekuwa mwenyeji wa jiji la nairobi na siku hiyo alinialika kwao kupata chakula cha jioni pamoja na familia yake ilikuwa Tarehe 31 mwezi Machi, ukiwa usiku wa manane katika mtaa wa...
  3. Roycce

    JamiiForums Tanzania Uzi wa visa vya usiku wa giza/usiku wa manane

    Uzi huu ni maalum kwaajli ya kisa chochote kilichowahi kukuta usiku wa giza totoro ambacho kilikushangaza na kukutisha.
  4. Roycce

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna series inaitwa Who killed sara Season 1 na 2 mwaka huu![emoji91]
  5. Roycce

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Ni ndoto gani ulioota ikakutisha na hutoisahau maishani mwako?
Back
Top Bottom