hali ikizidi kuendelea hiv itazidi kua mbaya mana karibia kila sehemu jijina hasa mabondeni na sehemu tunapokaa wananchi wa kipao cha chini....shime ndugu zangu tusaidiane kusaidia wenzetu.
mi nadhani wamekosa cha maana cha kufanya haswa kujikita kwenye rushwa ambazo hazituathir kitaifa moja kwa moja na kuziacha rushwa za waheshimiwa ambazo zinatufanya tz tuwe nchi masikini huku gap la walionacho na hawana likiongezeka!mi nadhani hii taasis ingeitwa "ya wala rushwa" 'a sio kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.