Recent content by Roy kimei

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Iringa Mjini na Moshi Mjini, mji gani unakua zaidi?

    Uchochezi huo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

    Nyumba ya asili ya wachagga haikujengwa kwa udongo wala haikupigwa bati ilikua ni full nyasi.hii imejengwa kwa structure ya zile nyumba za asili za wachagga Kasoro yake ni ya udongo alafu imepigwa bati. Kwa hiyo nyumba hii haijabeba uasilia ule .ila imejengwa kwa mfano ule.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nashauri Magari yasikwepe tena boda boda, yawagonge kuokoa wengi

    Addis Ababa wamezipiga marufuku.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jaribio: Ukitakujua waTz wengi wana funza kichwani, lidondoshwe gari la mafuta lenye maji, uone kitachotokea

    "Noniyang'waka umeongea ukweli mtupu. Watu wanamzika mume na kilichomuua kinajulikana kabisa(TANESCO). matanga yakiisha tuu hata arobaini bado watu wanaanza kumsarandia mjane. Unashangaa ukoo mzima unapukutika.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Waziri Lukuvi aagiza uchunguzi mipaka Msimbazi Center na kituo cha mafuta cha Victoria

    Kwa taarifa yako Victoria hajawahi kuwa chadema. Na si hivyo tuu mzee huyu hapendi kabisa kujihusisha na siasa. Ni mlokole mzuri tuu.we unaejiita chif wingia ukiona kila mfanyabiashara mchagga basi akilini kwako unafikiri mtaji kapewa na chadema? Kama wabeshi wamempiga kwa kumwuuzia eneo silo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

    Tabutupu nakuunga mkono kwa hoja, ila Kuna jambo moja hujagusia. Magauni yao yawe ya staha. Sometimes hivyo vimini wanavyotupia Haviwajengi ila vinawashusha. Wangeweza wakavaa hata suruali zisizobana na makoti ( kama wanavyovaa wadada wa Kenya airways) au sketi za staha na blauzi nzuri ...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC), adakwa na TAKUKURU Gesti akiwa na Mwanafunzi wake

    !Jina Nani eti Kanyika? Watani zangu hao.kwao ngono ni muhimu kuliko vyote.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mke agomea talaka ya DC. Adai hajawahi kutoa matunzo kwa mtoto kwa miaka18

    Mwanamke shujaa huyu. Hakuna wa kufananishwa nae kwa kizazi cha wanawake wa sasa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Muhindi Makaputura mzee wa juisi na keki mnamkumbuka? Opp. Mawenzi NBC br. Bado yupo vile vile hajabadilika .
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyejifanya YESU atimuliwa Kenya

    !mnawasema wakenya bure tu. kwenu hapa je ?hamkulishwa maji ya kikombe mbugani masaini huko. Nchinzima ikahamia huko ? Mmemtajirisha babu yule wee........
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mji wenye mchanga unaong'aa wakati wa giza

    'Money talks'
  12. R

    JamiiForums Tanzania MKUKI yaitaka Polisi kuwashughulikia waliosambaza picha za kuwadhalilisha watuhumiwa wa kike

    Unafiki ni kitu kibaya sana. Kwanihao machangudoa wateja wao ni kinanani? Je Hawa mashoga waliojaa kila mahali mitaani wateja wao ni kina nani? Mbona wadada ma tom boy wanaonekana kuongozeka kwa wingi Sana nyakati hizi? washirika wao si wapo miongoni mwetu? tena wadada wenye heshma zao na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania MOSHI : Wanazengo wanakula bia 24 hrs ! Hela wanatoaga wapi ?

    !Bosi Kwa hiyo we unataka watu waishi kwa tabu, kwa hiyo mtu anapoishi kwa shida we rohoyako inafarijika? Kwamba mwenzio akiishi kwa mateso we hua unafarijika rohoni? Hilo linaitwa pepo la chuki. (Sadism spirit) nakukaribisha uje kwenye huduma yetu ya maombi ya mission Heal The world tupo masaki...
Back
Top Bottom