MOSHI : Wanazengo wanakula bia 24 hrs ! Hela wanatoaga wapi ?

MOSHI : Wanazengo wanakula bia 24 hrs ! Hela wanatoaga wapi ?

Umeona maeneo yaliyotajwa na mleta mada ni kwa wanywa komoni?
Mzunguko wa fedha umepungua,nenda katafute clip ya Mafuru,aliyekuwa mkurugenzi wa hazina alipofanya mahojiano na clouds 360 na utaongeza uelewa wa kinachozungumzwa,interview hiyo ipo yourube,nikipata nafasi nitakuwekea hapa!
Report za mabank inaonesha kushuka kwa uwezo wa kukopa na kurejesha mikopo!Yaani uwezo wa kukopa na kufanya biashara kisha kurudisha mkopo kimeshuka,hii inamaana moja,biashara hazitabiriki!Uwezo wa watu kufanya manunuzi umepungua!
Iko hivyo siku zote, lakini pesa ipo tu
 
Nimekua Moshi kikazi kwa wiki 3 mfululizo. Na mm huwa napenda sana kuzurura mtaani.
Watu wanakula pombe Moshi jamani. Wanamlalamilia JPM lakini hapana. Wanayo mawe.
Nenda Hugos Garden , Q wine bar , Seven 11, East Africa , Minjas Pub , Oriental na Aventure kote huko watu wako fully wanakula vitu muda wote.
Moshi ni mji wa ajabu sana.Starehe haziishagi.
Haya bhana.
Pesa ipo.
Ni suala la vipaumbele tu mkuu.
 
Sasa wewe upo kikazi week 3, bado unawaona wstu wanapiga tungi masaa 24, na hapo hapo unasema unapenda kuzurura......anyway ukute na hii post umeandika ukiwa matingasi tayari
 
Nimekua Moshi kikazi kwa wiki 3 mfululizo. Na mm huwa napenda sana kuzurura mtaani.
Watu wanakula pombe Moshi jamani. Wanamlalamilia JPM lakini hapana. Wanayo mawe.
Nenda Hugos Garden , Q wine bar , Seven 11, East Africa , Minjas Pub , Oriental na Aventure kote huko watu wako fully wanakula vitu muda wote.
Moshi ni mji wa ajabu sana.Starehe haziishagi.
Haya bhana.
Pesa ipo.
Umekaa bar masaa 24?
 
Ni wivu tuu....
Unacha kazi ilokupeleka unaenda kuchunguza watu kwenye starehe zao
 
Nimekua Moshi kikazi kwa wiki 3 mfululizo. Na mm huwa napenda sana kuzurura mtaani.

Watu wanakula pombe Moshi jamani. Wanamlalamilia JPM lakini hapana. Wanayo mawe.

Nenda Hugos Garden , Q wine bar , Seven 11, East Africa , Minjas Pub , Oriental na Aventure kote huko watu wako fully wanakula vitu muda wote.

Moshi ni mji wa ajabu sana.Starehe haziishagi.

Haya bhana.

Pesa ipo.
!Bosi Kwa hiyo we unataka watu waishi kwa tabu, kwa hiyo mtu anapoishi kwa shida we rohoyako inafarijika? Kwamba mwenzio akiishi kwa mateso we hua unafarijika rohoni? Hilo linaitwa pepo la chuki. (Sadism spirit) nakukaribisha uje kwenye huduma yetu ya maombi ya mission Heal The world tupo masaki Mericknol Road. Tutakuombea nawe utapona kabisa.
Mapepo ya kuumia pindi uonapo mtu anafanikiwa hayatakutesa tena.
 
Back
Top Bottom