Recent content by roxna

  1. roxna

    Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

    acha viungo vikaze kwanza ndo nikae na mtoto wa mtu ndani
  2. roxna

    Wife Material akuje!

    watu wanafanya utani kumbe washaingia pm[emoji38]wanazuga kutania tu
  3. roxna

    Natafuta rafiki wa kiume

    Yani wanaojibu umri umeenda,umechelewa sana,eti una watoto...na kumkatisha tamaa dada wa watu ndo wa kwanza kwenda pm kimya kimya ili wapate pa kujiweka
  4. roxna

    Msaada wadada wenzangu:Mbadala wa dawa nyingine nzuri ukiacha weave kwenye nywele fupi

    ahsante dear subir niyasake nibadilishe muonekano Sent using Jamii Forums mobile app
  5. roxna

    Msaada wadada wenzangu:Mbadala wa dawa nyingine nzuri ukiacha weave kwenye nywele fupi

    Habari zenu......nina nywele fupi na nimekua nikitumia dawa ya weave na mafuta ya gel kwa mda sasa ila naona bado nywele haijakua vile navyotaka....... kwa hiyo naomba mnipe maujanja ya dawa nyingine kwa nywele fupi na mafuta yake ambayo inafanya kazi vizuri zaid ya weave.....ahsante Sent...
  6. roxna

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kupendana kwa dunia ya leo inahitaji kujitoa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. roxna

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    yanafurahisha maisha ya ndoa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. roxna

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana yani hasa ukipata na juisi ya chungwa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. roxna

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    home ndo kila kitu kwangu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. roxna

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ntakuona kama unajua kucheza Sent using Jamii Forums mobile app
  11. roxna

    Umeshawahi kumuwekea malengo mwanamke, mwisho wa siku ukamkuta na mimba ya mwingine??

    nmechekaa....polee Sent using Jamii Forums mobile app
  12. roxna

    Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

    Ukweli halisi wa nertwork marketing kwa wale walioanza wamefanikiwa kupitia hawa wengine waliowaingiza kazi kubwa inakua pale utampata nani umuingize kwenye mnyororo uifyonze ela yake........kutokana na hali ya sasa ya kiuchumi kwenye mifuko ya watu sio rahis kumpata mtu akubali kuingia kwenye...
  13. roxna

    Hawa watu bhana hata wakifika kileleni hawaridhiki kabisa, wanachotaka ni pesa tu

    Niwaibie kasiri wakaka tatizo kila siku mnaanza kuwaomba nyie,tengeneza mazingira aombe yeye mwenyewe alaf uone kama atakuomba na kueleza ayo matatizo yake mengi. Mnavyoomba kila mara wakati mwenzako ajajiandaa kichwani inakua Kama one sided ivii kwaio kwaio the only way out lazima aelezee shida...
  14. roxna

    Stop dating mentally broke girls

    What a shame. Why do you keep dating girls!!!!if you don't real want those stresses then date a WOMAN not just a girl, there is a big difference there,sadly u forgot about broke MEN'S What a pain in the a** Sent using Jamii Forums mobile app
  15. roxna

    Harusi bab kubwa ndoa chali

    cjui uko ndani kuna nini aseee!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom