Habari,
Tulifungua company tulikuwa tupo wanne. Ila now wawili wanataka kujitoa katk company.
NAOMB USHAURi JINSi YA KUWATOA WASISOMEKE KATKA REGISTRATION ZA BRELA.
Please ushauri
Kuna kamtindo kamezuka siku hizi, unafungiwa line Yako and then ukiwapigia wanakwambia line Yako inadaiwa fedha, wakati hujawahi kopa Hela yoyote.... Plz ushauri au nani kakutana na kitu kama hicho.
Hongera San muheshimiwa mkuu wa mkoa, kwa KASI nzuri ya kuondoa au kama syo kufuta kabisa biashara ya MADANGURO katika Jiji lenye STAREHE zote.
-Jiji la DSM ni Jiji la kipekee miongoni mwa majiji yote Tz, je utaweza kutokomeza biashara hzo??
-Tumeona wakuu wa mikoa wengi wamepita walikuja na...
Hi, natakununua pikipiki za miguu mitatu,ila na Hela nusu na nilisikia Kuna kampuni zipo kariakoo unalipa nusu and then unapatiwa pikipk and then nyingine unalipa kidogodogo,ukimaliza kulipa unapatiwa Card ya pikpik....Naomba pata Access ya hizo kampuni(namba za simu)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.