Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa mamlaka husika zina taarifa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa, hali inayohatarisha afya za Wakazi na...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuboresha eneo la utoaji wa taarifa, kuimarisha mawasiliano ya kimkakati na kutumia ubunifu katika kuwafikishia wananchi taarifa kwa ufanisi...
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAARIFA KWA UMMA
WANAFUNZI 165,775 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 535.7 BILIONI
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), leo (Jumamosi, Oktoba 10, 2026) imetangaza Awamu ya Kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku kwa jumla ya wanafunzi 165,775...
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi.
Akizungumza katika kikao...
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni.
Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
Familia ya Urassa imesema haitaruhusu ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao Kijiji cha Nkuu Sinde, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Jane Urassa, ikieleza kuwa wanaotaka kumuaga wataruhusiwa kuhudhuria ibada itakayofanyika kanisani pekee.
Msemaji wa familia...
Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.
Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026
Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo.
Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi.
Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti
Ufafanuzi umetolewa kutoka TTCL 👇🏼
Tunamshukuru mteja kwa kuwasilisha hoja yake na kutupa fursa ya kufuatilia suala hili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026.
Pia soma ~ DC wa Temeke na Mkurugenzi wanauza meza kwa wafanyabiashara wadogo bila Risiti wala Control...
Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore...
Mzazi Daniel Kapangala amemzawadia mwanae sungura wawili ambao ni jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Tembela iliyopo Kata ya Itewe, Halmashauri ya Mbeya, Shule hiyo inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu.
Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara.
Ado alisema mwaka 2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.