Recent content by RoughE

  1. R

    Kama ukiitwa kusuluhisha mgogoro huu utausuluhisha vipi?

    Kama baba itabidi nipambane nipate hela ya ada kijana arudi chuo. Ila mama itabidi wakaongeze mtoto mwingine na kibenten chake lakini akiwa haishi kwangu. Yote ni migogoro lakini la bi mkubwa kugawa papuchi hadi anatiwa mimba ni mkubwa kuliko yote huyo hana chake aende tu.
  2. R

    Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

    [QU Ulimkuta bikira? Kati ya tattoo na kumkuta sio bikira kipi bora? Umekuta used machine unashangaa tattoo Wewe oa tu usijali hicho ki love sign pretend ni kwa ajili yako. OTE="hiden, post: 29733283, member: 328175"]Wakuu, Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4, Kwa kipindi chote, jana ndo...
  3. R

    Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

    Nimecheka hadi jirani nimekaa nae kwenye daladala kanishangaa.
  4. R

    Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

    Mwanzoni kabisa walikuwa wanaita channel 0 kwasababu ya ile channel ya muziki dstv ilikuwa na nembo 0 sasa baadae tigo nao wakaweka nembo kama ya hiyo channel na zaidi sana wakaleta slogan ya kutwanga kote kote hapo ndipo iliposhika kasi. Nadhani wajuzi wanajua zaidi.
  5. R

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Amka naona usingizi umekuzidi. Mteme haraka Sana.
  6. R

    CHADEMA walikataa kufuata utaratibu wa Serikali wa matibabu ya wagonjwa kama ulivyoainishwa na Wizara ya Afya!

    Dada Joyce swali moja kwako Dodoma hospital iko nje ya nchi? Kama kumalizwa si ilikuwa rahisi zaidi pale Dodoma. Watanzania tuache kuwa na narrow minds tufikiri kwa mapana. Napita tu.
  7. R

    Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

    Imeniuma kwa kweli hadi nimetoa chozi. Shemeji huyu anastahili nishani.
  8. R

    Msaada: Mtoto niliyemkimbia kapata A tano mtihani wa darasa la 7

    Bado hujachelewa kaka. Ushauri wangu kwako usiogope kitakachotokea nenda ongea na hao walezi waeleze unachotaka kufanya. Angalizo. Usifikirie kumchukua ila waambie lengo lako ni kumpatia elimu I hope watakuelewa tu. Huu ndio wakati unahitajika zaidi.
  9. R

    Askofu Fredrick Shoo ameongea kama kiongozi au mfuasi wa Lowassa?

    KKKT ilikuwa tegemeo la Edward na upinzani kwa ujumla na itaendelea kuwa hivyo hadi itakapopata kiongozi wa kuhubiri injili kama ilivyo tafsiri na lengo la kanisa na si kuhubiri siasa kama ilivyo sasa si kanisa la kiinjili tena siasa imetawala humo ndani. Wachungaji hawana wito wa kuihubiri...
Back
Top Bottom