Recent content by Rouby

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SSC ya kitambo hicho

    Jamani nachmka uu..!!! Hamis Gaga hakuwa SSC?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi husika wachunguze wamisionari feki.

    Imagine,wanapiga picha za wamasai,wanazipeleka kwao kuonyesha ni jinsi gani tuna shida,wanachangisha fedha za kutosha ambazo hatujui ni kiasi gani,halafu hapa tunapigwa "changa la macho" kwa kupewa kiasi kiduchu. Ndugu zangu wamasai mmegeuzwa mtaji wa wazungu. They are here doing nothing,most of...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi husika wachunguze wamisionari feki.

    Ndugu wana JF, Ninakerwa sana na hawa wazungu wanaokosa kazi kwao na kuja Tanzania na kujidai ni ma-exparts katika taaluma ambazo hata sisi wazawa tunazijua tena kuliko hata wao. Wengi wao wanakuja kupitia mashirika ya dini,na kujaribu ku-penetrate kwa kujidai kama vile ni madaktari,maofisa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania No Blacks, Mongolians Allowed At Beijing Bars: Report

    Hawa Jamaa mbona wao wanamiminika hapa kwetu kama mvua za masika? Tembelea mitaa ya karikoo uone jinsi wanavyofanya Umachinga halafu huku kwao wanatuona sisi ni “Social Undesirables”!!!! Wanatukatalia hata kuingia kwenye baa zao wakati sisi tunawakubalia kuwa mabosi wetu. Stupid!!! SOMETHING HAS...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

    Anyway,English is just the language but not the knowledge. BAKWATA can give us its views even by using our national language.Si unajua wenye lugha ya kiingereza wanaitwa makafiri!!!!!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Thanks God for Giving us Kikwete

    Naungana na Kilongwe,JK hajasifiwa.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Thanks God for Giving us Kikwete

    Ni kweli kabisa,tafadhali muwe na upeo wa kuchanganua mambo,hapo hajasifiwa"positively" bali ni "negatively".Sidhani kama kusifiwa uzembe,kulea ufisadi ni sifa nzuri.
Back
Top Bottom