Recent content by rossette

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wadada Fungukeni: Ni mwanaume gani lofa zaidi ushawahi kutana naye hadi leo ukikumbuka unaishia kusema hiiiii

    Kiukweli kabisa umeandika hovyo kabisa japo kisa chako kilikidhi haja ya mtoa mada,sasa unaporekebishwa na wewe kuendelea kubisha unaonyesha dhahiri ni jinsi gani uelewa wako ulivyo...saa nyingine ukibugi kubali kaa kimya,jitafakari,chukua hatua
  2. R

    JamiiForums Tanzania Patricia binti wa Pfunk Majani

    Ha haaaa haaa eti vibungo!unamaanisha vichachuu?
  3. R

    JamiiForums Tanzania App lock yaniharibia ndoa yangu

  4. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makande

    Haya maelezo yako ni kama umeniona nikiwa nahaha na ugali kebich...aliyegundua hii mboga mbingu ataisikia tu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na mpenzi wako ondoka na kila kitu chako pamoja na vitambulisho vyako

    Kwa jibu lako tu linaonyesha nani ana tatizo la akili kati yako na yake...Uko vizuri
Back
Top Bottom