App lock yaniharibia ndoa yangu

App lock yaniharibia ndoa yangu

Alieharibu ndo yako Ni wewe mwenyewe...Hiyo App sio sababu.nakuombea huo uume wako ujae mavi kwa kula tigo uje utuhadithie kilichokupata.... It's just a matter of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebhana kama ilivyo ada kwetu wanaume kuchepuka ilihali tumeoa na tunawapenda wake zetu na kuwajali pamoja na kuwatimizia yote ila kikubwa zaidi kufanya kwa siri sana wake zetu wasijue.

Ebhana jana usiku kama kawaida nimerejea toka mihangaikoni nikapita direct chumbani na kuvua nguo na cm yangu nikachomeka charge basi baada ya kula nikenda kuoga nilikuwa hoi sana nikalala fofofo.

Kumbe mwenzangu alikuwaga ananilia timing namna ya kutoa pattern akashika cm na kuanga kupekua kila kitu ebwana kwakuwa ninatumia App lock huwa sifuti chat zozote na mchepuko wangu mbaya zaidi huwa anapenda sana kukumbushia mechi baada ya siku kuanzia kwenye Voda mpaka mtandao pendwa Tigo .

Wife kamind kinyama na ninavyoongea now nimeshakuwa mgane while ninampenda sana mke wangu kuchepuka ni hulka tu sio kumchukia but no way out kuiamini sana App lock kumeniponza.

My take; Wanawake msikubali kuachika kisa mume kakusaliti hakuna mwanaume asiyechepuka duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kachukia naye kumnyima mtandao pendwa wakati wengine unawapa bure.
 
Sasa hiyo app lock imeharibu vipi ndoa yako? Inachoonekana hiyo App lock yako hau ku i fanyia setting vizuri. Maana kutumia applock unaweza kuweka password tofauti kwenye kila app, ambapo inakuwa si rahisi mtu kujua.

Ni uzembe wako bro, siyo app lock. Pattern mimi zisipendi kabisa ni rahisi mtu kuijui. Natumia PIN ndefu digit 16 kama token ya Luku.
App lock inatumia password moja mbona kwangu mkuu, yani ni wewe ku-unlock app unazopenda tu.
Hiyo yako kila app na password yake?
 
Ujue tunawaza mengi sana na ndy maana tunaamua kuondoka, haya umedanga huko urudi na UKIMWI, nani atapata hasara zaidi ya watoto wetu, kuchepuka chepuka lakini kumbuka afya ya mkeo na familia yako.

Uncle yangu kafa kwa upuuzi wake, anadanga huko akapa gonjwa, kwenda kupima kamletea hadi mkewe, Aunt yangu katulia anameza dawa vizuri yeye anadanga, siku hiyo kakuta message, kumbe anamtoto nje ila hatoi matumizi, yule hawala kulalamika sana ndy Aunt kutoa hela za matumizi kwa kipindi kile na kutimkia kwao Kigoma.

Kimbembe kikaja nani wa kulea watoto, anatishia kama Umeondoka sinywi dawa, Aunt yupo usinywe tu, akaanza kuumwa, ndg wanaenda hasemi kama mgonjwa anadai karongwa ofisini kwake watu wanataka kiti chake kwa kuwa ni boss, mke kagoma kuja, hadi akafa, msibani Aunt kaja ndg hasira kwanini ulimkimbia ndg yetu, akasema mimi na marehemu tuna siri nzito sana baadaa ya mazishi kikao cha familia ndy kusema, sisi ni waathirika toka muda tu, kila mtu anashanga.

Toka siku hiyo analea watoto wake, ukimuona mwili nyumba

KUCHEPUKA CHEPUKA ILA JALI AFYA YAKO, YA MKEO NA FAMILIA YAKO YOTE KWA MAANA UKIMWI SIYO MALARIA UTAKUNYWA MSETO UPONE.
Kuna tangazo ITV, leo jioni saa moja, kipindi cha afya yako, mke na mme wana afya eti wana ngoma, huwezi amini, yule mwanamke mashaallah kabisa, ila ndo ivo anasema anaishi kwa ngoma.
 
Kuna tangazo ITV, leo jioni saa moja, kipindi cha afya yako, mke na mme wana afya eti wana ngoma, huwezi amini, yule mwanamke mashaallah kabisa, ila ndo ivo anasema anaishi kwa ngoma.
Unakuta kaletewa ndani Dada wa watu, binafsi naondoka zangu kwa maana siwezi kukufunga dude lako hilo usilitembeze
 
Broo umeshindwa kununua kitochi usajili line mpya uwe unaiweka simu yako kwenye kabati la ofisi daaaah pole sana mchepuko usimuunganishe na namba yako private tafuta ka simu ka uzinzi mkuu

Back
Top Bottom