Recent content by rosseswai

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    pole yake ila msevu hata mama flani mm hata cjaseviwa namba tu imekaririwa kichwan
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    mh watu tunatofautiana kuseviwa maadam timbwil namna hyo ningeeleza mi nayokutana nayo kweny ndoa ingekua ni yeye nahc ashafungasha cku nying
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Najuta kuoa mwanamke mlokole

    hongera xana mungu awatangulie
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

    Lakin cmlaumu mchepuko namlaumu mume wangu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

    ni kwel ckua na jinc niliumia mno lakin najua malipo ni hapa hapa dunian
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

    makubwa mm mchepuko alimfanyia mume wangu akija hm haifany kaz akienda kwa mchepuko kama kawa cjui kaponea wap mana baada ya hapo miez sita na kuendelea cmjui mume ndan kajihangaikia mwenyew kwa kuhofu nitachepuka lakin nilivumilia na kumwachia mungu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Niokoleeni watoto wangu tafadhali wanaJF

    dr massawe wa morocco karibu na jengo la airtel watapona
  8. R

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    akiiacha line na kutumia line mpya huipati tena hela
  9. R

    JamiiForums Tanzania Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

    lara1uko wapi siku hiz mamy
  10. R

    JamiiForums Tanzania Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

    nyie jisifien tu mpaka ndugu zetu mnatembea nao wanawake tuna siri nzito kuliko msivyotaraj kwa hyo inaweza kuwa ngoma dro au tukawazid loh
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja tulichonunua kumbe ni cha mpenzi wa zamani wa mke wangu

    yote ya yote uza tafuta mahala pengine ujenge usimwache mkeo ni nani mwenye uhakika kua mahusiano yanaendelea?wao ndo wenye ukwel lakin ipo cku mungu ataudhihirisha
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amerudi nyumbani, Lakini haniongeleshi, unyumba sipewi

    ndorobooooo wewe mi mwaka mzima hupat hyo haki ya ndoa kwanza mi nahc hujitambui kwa maelezo yako mnatia hasira xana
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi amzidi mke kuhudumia familia - kina mama badilikeni

    kiukwel ss kina mama tunajisahau mno pamoja na majukumu tuliyonayo hawa wasaidiz wa nyumban wanahtaj kusaidiwa (cpend kutumia neno h/gel) cku ambayo una nafas kama mama msaidie pika,fanya usafi tuwape moyo binafs najtahd xana kuamka alfajir kuwandaa wanangu. na kuwapeleka shule na mume hajui ht...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    anachosema xfactor ni sahihi ww unaona unaonewa lakn hauko sahihi hata kdogo kutunza mtoto ni gharama sana kwa kipindi chote cha miaka minne hukuhudumia isitoshe ulikua unakuja dar kama alikua hapatikani je hukua na namba ya mamake?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sijui atamwambia wife?

    umenichekesha sana broo. duh lakin kazi xana kumlinda binadamu
Back
Top Bottom