Recent content by Rosles Len

  1. R

    JamiiForums Tanzania We Need for Mentors: Here is Why?

    Great article Jerrytz and quite helpful as well
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Ahsante mkuu kwa ushauri wako...inabidi ni come up na choice moja coz kidogo naona kuna uwezekano mkubwa sana nitapata first choic nitakayoiweka.. ahsante tena..
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    wa pili
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vipaji maalum si lolote, si chochote

    Tukumbuke pia ubora unaonyeshwa na consistency... Msinielewe vibaya ila shule ya kata iliyoibukia jxt one yr ikawa kwenye twenty bora hauwezi ukalinganisha na ilboru au mzumbe ambao wamekuwa kwenye nafasi hizo on regular basis. Ktk kuunga mkono walichosema baadji ya wakuu hapo juu kwa mfano dogo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Wakuu ahsanteni sana kwa ushauri. Mi ndiye mtoa mada....Nilikuwa jkt.. Nashkuru Mungu tokeo limetoka vizuri. nina a a a. Sasa wakuu huku mtaani kila nayekutana nae ananiambia Petroli na kwa kweli hyo kozi mi naogopa pengina ajira zikazingua mbeleni. Naombeni plz mwenye info anijuze... Naona ni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    mmh....kumbe tena kuna mambo kama haya....ckjua...bx huko jkt ni hatari
  7. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    huko shamba dunia ndo pako vipi?? Je inabidi niwahi kwenda na nipate vitengo???
  8. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    Alikufa kwasababu ya ugonjwa au???... dah kumbe huwa watu wanafariki jeshini.... nimeingiwa na hofu kubwa sana.... Kaka we ulienda huko jkt???
  9. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    Salam wanajamvi. Mi ni muhitim wa kidato cha sita mwaka huu. Nimepangiwa jkt MGAMBO TANGA. Nafikiria kutoenda coz Kuna ishu nafanya inayonipatia kipato kinachoniwezesha kuisaidia familia Yangu na kujiandaa na maisha ya chuo. Ila kabla ya kufanya uamuzi nimeona nije kuwaomba wakubwa zangu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Sawa mkuu. matokeo yakitoka tuu nitakupm..ahsante sana
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Thanks mkuu.. fingers crossed and praying hard..hopefully i will make it
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Sawa mkuu nashkuru... tuombeane..ahsante sana
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Bdo cjapita mkuu. Ila Mungu akipenda nitapita..
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Ahsante mkuu... kwa hiyo mkuu for the future unaona geomatics IPO vizuri zaidi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Ahsante mkuu. Nimehitimu pcm. Hapo kwenye competition ndo pagumu. Ila kumbe geomatics no ya siku nyingi?
Back
Top Bottom