Recent content by roservelt

  1. roservelt

    Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania kesho tarehe 07/01/2024 atatangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili mwaka 2023. Matangazo hayo yatarushwa mubashara (live) kupitia YouTube ya NECTA (Necta Online) kuanzia saa 7:00 mchana. By Dr Lukwaro
  2. roservelt

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ukiangalia machaguo shule za secondary registration no. zinaanza na S. (Secondary) na za msingi zinaanza na EM.(Elimu Msingi)
  3. roservelt

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndio mkuu unaondoa kwanza then utaongeza nyingine. Ila machaguo mwisho ni matano.
  4. roservelt

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Kabisa leo ngoma haifunguki kabisa
  5. roservelt

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    System haiwezi ku prove scanned documents
  6. roservelt

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Io itakua network issue, Fanya kureload upya
  7. roservelt

    Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

    wanafunzi 10 bora darasa la 4 1. Joel Leonard - Libermann 2. Falima Mwenura - Green Star Junior 3. Goodluck Mtaki - Green Star Junior 4. Careen Slaa - Sasa 5. Joyce Ndonde - Wonder Kids 6. Samirah Mnali - Wonder Kids 7. Jonathan Maziku - Green Star 8. Balkis Majowe - Wonder Kids 9. Christopher...
  8. roservelt

    Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

    wanafunzi 10 bora form 4 1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya 2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis 3. Wllhemia Steven - St. Francis 4. Cronel John - St Francis 5. Merry George Ngoso - St Francis 6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls 7. Brandina - St. Francis 8. Imamu Suleiman -...
  9. roservelt

    Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

    Kwenye hii sample ndogo wanaotoka Mbeya ni wangapi? Wanafunzi 10 bora form 2 1. Geovin Macha - Shule ya Jude Arusha 2. Moses Masome - Heritage Pwani 3. Pius Tairo - Tengeru Arusha 4. Henry Shelembi -Jude Arusha 5. Shilanga Malegi - Heritage Pwani 6. Loi Kitundu - Feza Girls - DSM 7. Joshua Leo...
  10. roservelt

    Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Ukiwaoa ni sawa na umeolea kijiji, kwani hawajui kukataa
Back
Top Bottom