Recent content by Rose M

  1. Rose M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Jamani!😱 Kuna Watu wakatili sana Tz
  2. Rose M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA "wamtosa" Zitto

    Wapinzani wanachangia kwa namna tofauti na CCM, Wanakua na hoja tofauti kila wanaposimama ila Wabunge CCM wanaunga Mkono kila hoja na Mawazo yao yanafanana ingawa si wote, kwa mtazamo wangu.
  3. Rose M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla kama kweli wewe ni Mzalendo Jiuzulu. TTB wamekuvua nguo

    Lol Siasa za Tz 😇
  4. Rose M

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu "Hapa Kazi tu, Tanzania ya viwanda" bado unazisikia huko kwenu?!!

    Hapa nilipo slogan za namna hii ni kama vichekesho tu.
  5. Rose M

    JamiiForums Tanzania Gawio la Mlimani City -UDSM la Sh milioni 44 lamshtua CAG

    😂 😂
  6. Rose M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya albino: Waganga wa mitishamba Mwanza wamtishia mtangazaji Vicky Mtetema wa BBC

    We need to educate our people, 2019 jamani bado imani hizi zipo!! Watanzania tuamke, Kila Binadamu ana haki ya Kuishi, So sad for what's going on.. Na huwa inatokea kipindi karibia na uchaguzi. Polisi wasipotimiza wajibu wao tuwahoji, we must play our part as citizens.. :(
  7. Rose M

    JamiiForums Tanzania Insha Maridadi 3: Siku Nilipomtwanga Ngumi Daktari Wangu kisa Kitambi...

    Nimelipenda hili bandiko =) Ujumbe umefika, Tatizo ni Viongozi kutotumia busara katika maamuzi. Wisdom & tolerance kwa Viongozi Africa bado sana.
  8. Rose M

    JamiiForums Tanzania Shahidi: Mbowe alitimua mbio kwa kasi, risasi zilipopigwa

    Kumbe alikimbia!! Sasa mahabusu aliwekwa kwa kosa gani wakati alikimbia risasi za polisi zilizomuua akwilina!
  9. Rose M

    JamiiForums Tanzania Waziri Selemani Jafo akitoka ndani ya ofisi yake mpya mkoani Dodoma baada ya kazi

    Makubwa hahaha 😂 ,hiyo office lol sikuwahi kuipenda Siasa,ila awamu hii hili Jukwaa limekua kama Jukwaa la Celebrities.
  10. Rose M

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha kukuzuia kufanikiwa

    Tom & Jerry,Charlie Chaplin & Mr Bean 😂.. nikiwa bored hawajawahi kuniangusha..
  11. Rose M

    JamiiForums Tanzania Mr. Nice apongeza kufungiwa nyimbo za wasanii zisizo na maadili

    Lol ..Kumbe bado yuko Mjini!!
  12. Rose M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana anayekula utamu wa Wolper

  13. Rose M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana anayekula utamu wa Wolper

    Watu wanajua kutunga.. Kwanza Huyu siyo Wolper .. Anaitwa Zena au Zejully ni Mama wa mtoto moja aliyezaa na bwana wa Kichaga..na huyu ni bwana wake mpya wana miezi sasa.. Binafsi na urafiki na Wolper pamoja na Zena ..
  14. Rose M

    JamiiForums Tanzania Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

    Hongera Zao :)
Back
Top Bottom