Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ivi Kumbe hadi mambo ya Instagram humu JF yapo . Sikuwahi kujua .
Ila JF haijakaa Romantic kiasii hicho mnapotaka kuipeleka .., huku tumezoea kuona watu wakidiacuss NONDO....Mambo Mazito.

Embu huo.
ujiinga mliouanza upelekeni instagram
Sema waipeleke jukwaa husika tu. Ila iko poa
 
Back
Top Bottom