Recent content by Rorscharch

  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

    Yaani mkoa zao kuu inalotoa ni cancer ya mapafu kwanini wakazi wa huko wasilaanike?
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Christians, Muslims—Why Do You Work Together So Strongly Inside Your Places of Worship, But Live Separately Outside? Where Is the Problem?

    There is an invisible line in human life, unwritten, unspoken, yet deeply obeyed. On one side of it, we become “we.” On the other side, we dissolve back into “I.” Inside the church and inside the mosque we build together. We respond to calls as one body. We contribute without hesitation. We...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Enyi Wakristo, Enyi Waislamu Kwanini Ushirikiano Mlionao Kujenga Madhabahu Hamuutoi nje ya Viwanja vya Masinagogi Yenu? MNAFELI WAPI?

    Kuna mstari usioonekana unaokatiza maisha yetu—mstari mwembamba sana, lakini wenye nguvu kuliko tunavyodhani. Ndani yake, sisi ni kitu kimoja. Nje yake, tunasambaratika bila kelele. Ndani ya kanisa, ndani ya msikiti—tunajenga pamoja. Wito ukitolewa, watu wanaitikia. Michango inapangwa, kila...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    Angebaki Afrika angegundua hata hiyo bulb?
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Siasa za 2015, kurudi nyuma, ndizo zilikuwa siasa za hoja, na si hizi za kuitana chawa na nyumbu. Hizi ni za watu ambao hawajui siasa na uongozi!

    Kutumia matusi sio umefirisika, bali umekataa kutumia seli zako za Ubongo kutafakari na kujibizana na mfugo wa mfumo (ni sawa na kumfundisha mbwa kutumia choo)
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Siasa za 2015, kurudi nyuma, ndizo zilikuwa siasa za hoja, na si hizi za kuitana chawa na nyumbu. Hizi ni za watu ambao hawajui siasa na uongozi!

    Kama tabia zako na hulka yako inafanana na hiyo hali ya "UCHAWA" kwanini usiitwe hivyo? Zaidi ya hapo naweza kusema tu kua ...... Huwezi kujibizana kwa hoja na mtu mwenye vinasaba vya uchawa maana hata utumie hoja yeye hawezi maana kuamua kukujibu kwa hoja inabidi avue vazi lake la uchawa (kitu...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ninapendekeza Kupanua Mamlaka ya Mikoa: Njia ya Kugawana Keki ya Taifa Bila Kuvunja Sahani ya Umoja

    Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala si ukosefu wa watu wenye nia njema; tatizo letu ni mahali tulipoamua kukusanya mamlaka...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Hii kesi inabidi ufufue kwanza Machifu wa makabila kadhaa ya Kitanganyika na Wapemba (Sultan), maana hawa ndio waliokuwa wanauza hao binadamu
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuteleza kwa Bahati mbaya? Hivi unaelewa kwamba wakati unaandika hivi Kuna watu bado wanawindwa watekwe
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa kujua Kwangu Nyota na Ulozi wa Mpira niliposema Kapombe asiwe Nahodha kwani ana Nuksi sikueleweka na kuonekana namchafua na namchukia

    Mnaofuatilia kandanda msimu huu mna Moyo; yaani Mimi nikisikia mada za mpira napata kiungulia
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi umepita, tujikite kwenye hoja za kusaidia wananchi

    It's far from done, the powers that be must offer a sacrificial lamb to sate the masses; Tanganyikans would probably quell when someone is offered over to the ICC
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ni vema viongozi wa dini wakachukua hizi tahadhari kuilinda Tanzania yetu, na katika kipindi hiki mambo haya yafanyike ili kupunguza matishio ya nje

    Hamna majibizano, Wakatoliki wametoa waraka/ushauri nini kifanyike na wamerudi katika shughuli zao za kila siku za kuchunga kondoo wa bwana; upande wa pili wa hii sarafu ndio Kuna changamoto
  13. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Ndio tulivyo
Back
Top Bottom