Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Kipimo cha akili ndogo za Waafrica, ni hiki. Anatokea mwarabu, msomali, mhindi, mzungu au mchina fulani, anahamia kijijini ndani ndani tu huko. Baada ya miaka mitatu, minne, mitano, anakusanya utajiri wa kutosha hapo hapo kijijini, anahamia mjini mkoani, labda Mwanza, Dsm Arusha nk. Baada ya miaka mitatu minne, mitano,anahamia London, au New York, au Brisbane na kuanzisha mpaka makampuni. Mwafrica wa kijijini bado yuko hapo hapo kijini na pombe zake na hirizi zake na jando na unyago vyake. Hili nimelifanyia utafiti. Akili zetu zina kasoro na upungufu mkubwa.
Afrika hatujitambui wenzetu Asia kama Thai ,Vet na Malasia ni watu wanaojitambua sana sana
 
Habari za ijumaa wanaJamiiForums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
NDIYO, angalia watoto wa kichina walivyo busy kwenye maabara, Africa ni kucheza njoma za jadi. In short whites know how to use reason rather than faith. For Africa one has to believe in order to understand.
 
Habari za ijumaa wanaJamiiForums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Tuanzie na Watanzania, hivi tuna akili kweli kulingana na katiba yetu? Mbona mambo yanaendeshwa sivyo nasi tunakaa kimya?
 
Kwani hujui kama waafrika hatuna akili mm nakushangaa sana ,subirini wazungu wanakuja kuzichukua tena ,muone Traore na wenzake wamejitambua ktk makucha ya wakoloni.
Katika kuzidi kudhiirisha kuwa mwafrika hana akili na kamwe hawezi kupata hizo akili... watu wanoongoza kumchukia na kumpondea Traore ni waafrika wenzake tena wengine ni maprofessor kabisa.

Yaan kwa hapa Afrika ukijitoa kwenye ujinga automatically unatengeneza maadui wengi sana uliowaacha huko ujingani.

Traore kwa mambo anayoyafanya anawahofia zaidi waafrika wenzie kuliko hata mkoloni mwenyewe, maana hao waafrika wenzie wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya mkoloni, na hapo hapo wanafahamu fika kuwa huyo mkoloni ndio chanzo cha matatizo mengi yanayoikumba jamii ya kiafrika....sasa binadamu kama hawa unaanzaje kusema wana akili??
 
Tuanzie na Watanzania, hivi tuna akili kweli kulingana na katiba yetu? Mbona mambo yanaendeshwa sivyo nasi tunakaa kimya?
Kitendo cha raisi Samia kuwachagulia wanainchi mbunge wa kuwawakilisha anayemtaka yeye, na kumkata yule ambaye mnamtaka nyie wanainchi halafu na nyie raia mmetulia tu, kinatosha kutupa taswira kuwa wabongo ni mainti zinazotembea kiasi kwamba mtu mmoja anaweza kufanya lolote la kipuuzi analojiskia bila hofu ya kukutana resistance yoyote.
 
Kwa hapa nimechunguza hili tatizo liko ndani ya race kabisa ukiwaona wanacheza singeli au vigodoro huku africa mtu mashahuri ni kinyume malayaa ndo bingwa , chawa ,mpiga madili ndo mjanja

Mtu mwenye hakili ni mtaratibu huwa anamaliza mambo kwa haki anafatilia vitu huku africa wewe ni fala tu Utapigwa matukio hakili ikukae

Kwa kweli kwann tumezaliwa huku au walio ulaya ndo wameenda peponi huku ndo jehanam
 
Akili mgando ndio tatizo, mtu lile la jana liliompa kula ndio hilo kamaliza ,haijalishi imetoka wapi, na inajenga au inabomoa, akipata mtu wa kumla hela kwa figisu basi ndio ana akili kubwa na ndo mwisho wa kufikiri, ukiwa TRA utaonekana mbunifu sana na umeshagundua kila kitu.
 
Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi

Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana

Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi

Mzungu hana time na ugunduzi wako, mwafrika mwenzio (actually mweusi popote sio mwafrika tu) ndo anadeal na wewe, hebu gundua uone kama mzungu atajali, au nani mweusi aligundua akazuiwa?
 
Wapo watu weusi walikulia nchi za ughaibuni na wamefanya gunduzi tunazozitumia leo. Mfano Lewis Latimer alibuni bulb zinazotumia filament na hata three light traffic light imegunduliwa na mtu mweusi bila kumsahau Ben Carson neurologist aliyeishangaza dunia.
Angebaki Afrika angegundua hata hiyo bulb?
 
Habari za ijumaa wanaJamiiForums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.

Mwandishi unastahili utafute watu waliosoma hapo zamani za kale (Historia) walau ngazi ya juu kidogo; watakuelezea Asilia ya waafrica kuwa hivyo
hata hivyo kwa post yako usihusishe nchi za kaskazini mwa Africa ambazo zime endelea sana pia Nchi kama Misri ambapo kuna hesabu kadhaa zinayotumika duniani ziligunduliwa kwao, Algebra nk nk nk
 
Kwa hapa nimechunguza hili tatizo liko ndani ya race kabisa ukiwaona wanacheza singeli au vigodoro huku africa mtu mashahuri ni kinyume malayaa ndo bingwa , chawa ,mpiga madili ndo mjanja

Mtu mwenye hakili ni mtaratibu huwa anamaliza mambo kwa haki anafatilia vitu huku africa wewe ni fala tu Utapigwa matukio hakili ikukae

Kwa kweli kwann tumezaliwa huku au walio ulaya ndo wameenda peponi huku ndo jehanam

View: https://www.instagram.com/reel/DQLG7TZkaTV/?igsh=MXQxNzVuN2V2dXk3Mg==
 
Habari za ijumaa wanaJamiiForums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Wazungu walitokana na adam na eva ila sis ile sku mungu alipoumba wanyama akaumba gorillas ambao ndio sisi so usijipe stress zisizo na maana
 
Back
Top Bottom