Recent content by ronnymsaki

  1. ronnymsaki

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Na wengine mna comment shits hamjui tu hata nyie mmefanyiwa hivyo...imagine wewe ungekua na tatizo hilo sindo mnasemaga mama zenu wazembe Hayo ni mambo ya asili Na kama wewe unaona mambo ya asili hayana maana ...mkeo akijifungua achieni kitovu kidondokee kwa babu halafu ulete mrejesho huku
  2. ronnymsaki

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Zingatia vyakula bora Sababu yeye bado mtoto anatakiwa apate lishe nzuri itamsaidia sana Mtengenezeeni uji wa lishe hakikisheni mmeweka mbegu za maboga halafu mu muwekee na peanut butter Matunda...Hakikisheni anakula ndizi mbivu walau1 kila siku ichayo kwa mungu Na matikiti maji pia atafune na...
  3. ronnymsaki

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Hii tiba watu wengi huwa wanaisema kama haujasika/haujapata mtu mwenye tatizo hilo msukuru tu mungu
  4. ronnymsaki

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Pole sana jamani mtoto atapona Nyie mnaotoa majibu ya hovyo kama hamna cha kumsaidia mwenzenu bora tu mkae kimya Kama mzazi inauma sana kuona mwanao hasimamishi.... Hiyo tiba nilishausikia ila sina uhakika nayo pia zingatia chakula bora asile ma chips na haya makuku ya kisasa N.B wanaouliza...
  5. ronnymsaki

    Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

    Ukiona mtu analamikia serikali ujue hyo ni mvivu...fanya kazi uone kama utakua na huo muda wa kuotoa lawama tafuta hela kwa jasho utapata yani nikiona mwanaume analalmikia serikali daah namchukulia tofauti san
  6. ronnymsaki

    Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

    Hakuna binadamu alokamulika..afadhali yake yeye hata ana hyo miguu ya kusimamia wengine hawana kabisa miguu..msipende sana kukosoa kazi za mungu hakuna aliyekamilika na kabla hujafa hujaumbika
  7. ronnymsaki

    Suala la Kutahiriwa

    Hospital za serikali unaweza fanyiwa bure lakini pia unaweza enda hospital nyingine ni kuanzia e20 mpaka laki hapo makubaliano yenu tu doctor anakuja kukufata ulipo....kwenye kupona zingatia hali ya hewa msimu wa mvua utapona mapema kuliko wa joto na inabid iwe likizo maana haushauriwi kukaa na...
  8. ronnymsaki

    Mtoto wa form three anataka kuvunja ndoa yangu

    Ndo mkome kutembea na wanawake wasiojielewa...achana nae huyo kwanza hakupendi mwambie akajiue tu
  9. ronnymsaki

    Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    Mi hata sijaona swali halafi story yenyew inaonekana fake
  10. ronnymsaki

    Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Cheee kumi unaona ni wengi?mimi nikikutajia idadi wanapanda buffalo ya arusha wanajaa na wengine wanashikilia bomba...unaambiwa ukitaka kumla bata usimchunguze sasa we kuulizana huko ushatembea na wangapi ina huuu mi wala nisingekujibu
  11. ronnymsaki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa hyo hapa uki lost moja unapoteza zote?
Back
Top Bottom