Shamba kubwa linauzwa lipo Lupembe Njombe Tanzania linaukubwa wa ekari 1000 bei (150,000) laki moja na nusu kwa ekari. Eneo linakubalika kwa matumizi ya kilimo cha aina yoyote na ni tambalale. mawasiliano 0757003302.
Wamefilisika, wanapenda kuiga kwa tigo wakati uwezo wao mdogo ndo maana wameondoa picha kwenye fb ya bure walionjesha kwa muda mfupi walipo piga mahesabu wakakuta wanapata hasara wakaamua kutoa picha yabakie maandishi. Kama kuchati kwa maandishi hawajui kuwa tunaweza hata kutumiana sms za...
Jaribu kuwa msafi mda wote na ikiwezekana mwachishe kunyonya mpe maziwa ya ng'ombe au ya dukani yale ya kopo mtoto atakuwa na afya njema kabisa ukishindwa mwone daktari yeyote atakupa ushauri. Pole sana dadangu.
Niko makambako nilienda voda shop mwezi wa pili kuomba til ya m pesa nilipeleka vielelezo vyote walivyo niambia mpaka sasa sijapata hiyo til na kila nikienda wananiambia subili tukupigia simu na kinacho niuma zaidi ni hela niliyokatia leseni ambayo mwaka unaisha na leseni inaisha muda wake til...
Ni kweli mkuu kuna milima na mabonde eneo lipo sehemu nzuri na lina kubali kilimo cha zao lolote bila kutumia mbolea mimi niliwekea mfano wa hayo mazao mfano waliko nunua wapakista wao wamepanda matunda maparachichi. Ni eneo lenye lutuba nzuri sana liko mbele ya kiwanda cha muviulu.
Unatakiwa uwe mwelewa kama mada haikuhusu unatakiwa utulie sio kuchangia jambo usilo lifahamu ndugu kwako halina umhimu kwa mwingine eneo linaumuhimu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.