Recent content by romarry

  1. R

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums android

    Kwangu inapiga mzigo fresh tu ndio naitumia hapa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Acheni kumchafua rais ajaye nyie team lowassa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mabomu yanarushwa angani Tegeta/Mbweni-Dar es Salaam

    Hamna kitu kama hicho mkuu, niko mbezi beach kwa komba karibu na lugalo kabisa hamna mlipuko hata mmoja uliosikika
  4. R

    JamiiForums Tanzania ITV kurusha leo live mkutano mkubwa wa CHADEMA Dar

    mkuuu mkutano unafanyika kawe sehemu gani ili nami nijumuike
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sterring hauawi; OGWHATSAPP INAPATIKA TENA

    Ina option ya whatsapp call?
  6. R

    JamiiForums Tanzania WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

    Tuwe makini sana mkuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

    Ni whatsapp hiyo hiyo ila hii inakuwezesha kutumia zaidi ya namba moja kwa whatsapp, ila ndio siyo salama kama ilivyonikuta, nakushauri usithubutu kuzitumia mkuu
  8. R

    JamiiForums Tanzania WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

    Kama unajua OGwhatsapp hii ndio mbadala wake
  9. R

    JamiiForums Tanzania WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

    Mkuu acha kabisa kujiunga na bundle la tsh 2000 mara mbili kwa siku mbili tu na bado uunge kwa vifurushi vya mda wa maongezi. Ila nahisi nisinge gundua mapema ingenifilisi kabisa
  10. R

    JamiiForums Tanzania WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

    Ni kweli kabisa mkuu, ila nahisi hii kitu si salama kwa privacy zetu kabisa
  11. R

    JamiiForums Tanzania WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

    Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi. Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Cracked WhatsApp

    Mkuu jana imetoka whatsfapp version 2.1.1 iko stable sana
  13. R

    JamiiForums Tanzania OGwhatsapp ndio basi tena?

    Imebuma kimoja, kwangu juzi ndio imebuma.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

    Ahsante mkuu kumpa ufafanuzi mzuri.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Speed ya internet ya Airtel ni hatari!!

    Nadhani umeona screen shots za torrent hapo juu, kumbuka uwezi kulinganisha speed ya live download na torrent ambayo speed yake unapata kutegemeana na seed's
Back
Top Bottom