poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Ahsante kwa mrejesho wako mkuu
Heshima kwako mkuu, now nimerudi tena hewani
Katuokoa kweli aseee
Mkuu kuna version ambayo nimeiweka kwenye hiyo post hapo ujui uhitaji kubadilisha tarehe na haitadai updates
Wadau na vipi kuhusu whatsapp plus kuna version yoyote mpya? Mwenye nayo anisaidie link.
Mkuu link hii hapa https://www.dropbox.com/s/rt7yp7pfvbmennn/OGwhatsapp.apk?dl=0
hii ogwhatsapp wameiban?
Labda, ila kuna wadau hapa wanasema inapiga kazi kama kawaida.
Still inapiga kazi kama kawaida but kama unayo mda mrefu kwa simu... maana yake niki uninstall na kurudisha tena itagoma kuwa activated, hivyo kwa wale wapya ni vigumu sana kuweza kutumia OG kwa sasa.