Recent content by Roman Empire

  1. Roman Empire

    Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Sasa hivi nipo tabata shule foleni ipo hadi tabata baracuda. Mataa yamekuwa kero kwa kweli tarura na tanroad waliangalie ili swala, barabra ni nyembamba sana
  2. Roman Empire

    Wataalam wa camera, bei halisi ya hii camera ni kiasi gani?

    Canon model namba ingia google itasahidia kama auwezi kuzijua specification
  3. Roman Empire

    Car4Sale Hii hapa Hiace kwa 7mil tu

    Eng type, fuel type, bei ni vitu muhimu sana jomba
  4. Roman Empire

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Mkuu runnx ya kuanzia 7m hadi 9m ikitokea nitag
  5. Roman Empire

    AJALI: Basi la Simba Mtoto lagongana na Lori na kusababisha vifo 11, majeruhi 26 Korogwe, Tanga

    Mlolongo kenge wewe.... Thread ya 2016 unaifungua leo rudi shule kajifunze kuandika kwanza... Hata ulichoandika akieleweki useless kabisa
  6. Roman Empire

    AJALI: Basi la Simba Mtoto lagongana na Lori na kusababisha vifo 11, majeruhi 26 Korogwe, Tanga

    Mlolongo wewe ni member wa muda mrefu kidogo mbona unafukua newz ambazo azikusaidii chochote, naomba tembelea jukwaa la mahusiano kuna mada nyingi zitakazo kurefresh
  7. Roman Empire

    Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

    Umeanza kumpa maziwa tofauti na ya mama yake au bado ananyonya tu na kunywa maji. kama ndio ni maziwa yapi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Roman Empire

    Zanzibar yatangaza wagonjwa wapya 23 wa COVID-19. Idadi ya maambukizi yafikia 58 na 170 kwa Tanzania ( 19.04.2020 )

    carcinoma, Nimesoma comment yako nimeshidwa kuelewa ulitaka kusema nini. Umeuliza swali au umeelezea nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Roman Empire

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    [emoji91][emoji91] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Roman Empire

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    morogoro unapita ifakara . ni kweli nimekula kuku wa kienyeji hadi nilikinai wanapitishwa mtasni kama mchicha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Roman Empire

    Hii Karata waliyocheza CHADEMA inaweza ikawa imetoa mrejesho ulio hasi kwao kwa upande mwingine

    wengine sisi ni wafanya bihashara namba zetu zipo tra wanaweza kufanya upelelezi ukashangaa unaletewa mikodi ya ajabu kisa ulichangia chadema kupitia bank au simu pesa. watu wanapenda kuchangia ila hofu ni kubwa sana mkuu kwa tulio mikoana hata waliopo dsm Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Roman Empire

    Tanroads; Alama ya makutano ya njia za reli na barabara zifanyieni ubunifu kupunguza ajali mtaua watu bure!

    utaratibu waliotumia mizani ya visiga ni mzuri sana gari inapimwa ikiwa bado aijafika kwenye mizani inamsahidia dereva kujua anastahili kuingia kwenda kupima au ananyoosha. hata kwenye makutano ya reli na barabara ya magari TRL inatakiwa waweke taa itakayo julisha magari treni inakaribia hayo...
  13. Roman Empire

    Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    wewe jamaa ni pimbi sana kutengeneza kile kijitabu chenye vikaratasi vichache vile unasema kuna unyeti na gharama sasa wale wanaotengeneza bomu la nyukilia waseme nini. ebu fikiria upya rushwa na urasimu unatumika muda gani. alafu kukusahidia tu wabongo wachache ndio wanaojua humuhimu wa...
  14. Roman Empire

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    wewe jamaa unapenda sana mambo ya kienyeji hadi kisukari unataka atumie mitishamba . Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Roman Empire

    Kumhasi mbwa (Castration)

    umejiunga jul 2018 ,mtu wa mwisho ka comment mwez march sijui apr 2018 . ww umefukua tuu[emoji2960][emoji2960] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom