Kumhasi mbwa (Castration)

eti kiarufu cha bakery. Ni kwa nini sisi binadamu hatuwezi kukihisi( smell)

Wanadamu siyo rahisi kuisikia hiyo harufu ya "Tanuru Dogo la Mikate" kwa sababu ya kuugua mafua mara kwa mara. Vile vile mbwa wana cells zipatazo 3,000,000,000 za kunasa harufu wakati wanadamu wana cells 1,000,000 tu za kutambua harufu mbalimbali.

Kwa hiyo uwezo wa mbwa kutambua aina ya harufu ni mara elfu 3 zaidi ya uwezo wa mwanadamu. Ndiyo maana mbwa anauwezo wa kutambua madawa yaliyofichwa chini ya ardhi mita 5 kwenda chinini.

Ndiyo maana wenye biashara za madawa machafu wanakamatwa kwa urahisi sna kwa kutumia mbwa - Mungu Mkuu.
 
Anafanyiwa operation ya kutoa tumbo la uzazi (Uterus) pamoja na kutoa mifuko ya kutotolea mayai (Ovaries).

Ni vizuri kumtoa ovaries ili asiwe anaingia kabisa kwenye mbaramwezi na asiwe anatoa kile kiharufu kama cha "bakery ndogo" ambacho ndo huwa kivutio kikubwa kwa madume yasiyo hasiwa.
"Bakery ndogo"
 
Back
Top Bottom