Recent content by romaki

  1. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Kweli kabisa ni madaraka makubwa sana lakini yapo ndani ya katiba sivyo mkuu?
  2. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Asante mkuu Kwa kunijuza ni Kweli nilikuwa sijui ndo maana nikauliza nipate kuelimika.
  3. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Kisichokuwa ndani ya katiba inayoongoza mahali sio kusema kwamba ni batili?
  4. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Asante , je! Hayo madaraka yako kikatiba?
  5. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Ndege ama slogan?
  6. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Ok Asante Kwa ufafanuzi mzuri Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Ni Kweli kabisa Inabaki kuwa Mali ya serikali, Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. romaki

    Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama?

    Habarini za muda huu Katika mapokezi ya ndege mpya leo nimeshtuka kidogo kuona imepigwa chata ya HAPA KAZI TU, kama tunavyojua hiyo ni slogan ya CCM. Sawa ni chama tawala lakini je, Ni sahihi Mali ya umma kuandikwa slogan ya Chama kama hapa kazi tu, Au people’s power ya CHADEMA ikitokea...
  9. romaki

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Sasa nikisema colonial masters ndo nitakuwa nimemaanisha vyombo vya habari vya ulaya?
  10. romaki

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Ungejia impact yake usingeongea hili ulaya hata akiandamana Mtu mmoja anasikilizwa na kutangazwa na vyombo vya habari, vya vya habari vya ulaya ndo vya dunia.
  11. romaki

    Rais Magufuli anzisha mchakato wa katiba mpya

    Hizo pesa mnazo tumia kurudia chaguzi zinatosha kumalizia huu mchakato wa katiba mpya, msisubiri mpaka iwe too late, by 26 April it will be too late mshaurini.
  12. romaki

    Ex wangu anaolewa April 29, kaniomba tukutane aniage mara ya mwisho

    Usijaribu kimbia brother kwani atakuachia mikosi afu Wewe kuja kuoa itakuwa ndoto.
  13. romaki

    Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

    Nilikuwa siamini ila binafsi nishaziona mara tatu na Jana baada ya ile mvua nimekutana nazo mbezi beach.
  14. romaki

    Mbunge Hussein Bashe aja na hoja binafsi ya kuchunguza “Watu wasiojulikana...”

    Msishangae huu mswada ukajapita bungeni. Siasa mchezo mchafu, yawezekana ni technique ya kuja kuzima maandamano ya tar 26 April. Maana sasa kama tume imeshaundwa kufuatilia hizo sababu za maandamano why muandamane sasa.
Back
Top Bottom