assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Tumpe rais wetu ushairi ambao hapewi na inner cycle yake.
umuhimu wa katiba mpya
1. taasisi kuwa huru na kutoingiliwa kwa kupewa mamlaka kikatiba mfano, polisi,jeshi,takukuru,bunge, mahakama, tume ya uchaguzi nk
2. Kupunguza nguvu za rais hasa katika teuzi. Rais kapewa kazi nyingi sana hivo katiba itoe mamlaka viongozi wa taasis na mashirika pamoja na mawaziri wawe endorsed na bunge.
3. kuweka uwezo wa kumshtaki raisi akiwa katika madaraka au akistaafu kwa vitendo vyake mfano km raisi atavunja katiba kuwe na kipengele cha kufikishwa mahakamani
4. kuwe na freedom of speech yani kwa MTU binafsi,magazeti,mitandao,TV, nk
5. sheria ya vyama vya siasa kurekebishwa ili iendane na vyama vingi.
vipo vingi sana.
Tuñamuomba rais wetu mpendwa aipe mchakato wa katiba uanze kwani ni hitajio LA wananchi.