Recent content by rollingstone

  1. R

    Biashara ya paprika

    Reply will be made to those with significant contribution
  2. R

    Biashara ya paprika

    Kwa wasiofahamu, Paprika ni zao kama pili pili isiyokali. Tafadhali kwa walioko Dar, fanyeni mini-survey pale kariakoo kuuliza kwa wahindi na wapemba. Mwaka jana walitafuta sana lakini wakakosa. Kama kuna watu watahitaji, tufanye biashara, kwa kweli zipo za kumwaga kama tani 40 kuanzia August...
  3. R

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Hivi kwanini binadamu tusisaidiane inavyopasa? huyu mzee ina maana hana marafiki wakumsaidia ili aweze kuongeaga busara? si kila mzee ana busara ya kweli kuwatosha na wengine
  4. R

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kama uko Dar, naomba nikuagize kariakoo ukaniulizie bei ya pili pili aina ya paprika, nasikia kuna wahindi huwa wanaisaka sana ila hawajui wapate wapi kwani kwa miaka ya nyuma kulikuwa na kampuni inanunua kwa jumla, Mwaka huu kuna wakulima wamelima na hawajui wapeleke wapi. Please kama uko...
  5. R

    Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

    Kwa machache tu. Dr. ni intelligent Dr. ni mbunifu Dr. ni mwenye maono ya kitaifa (vissionary leader) Dr. ni mchapa kazi Dr. anamuenzi baba wataifa Dr. anasoma sana Dr. anajiamini kusimamia anayoyamini endelezeni
  6. R

    Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

    Hakika CCM wataikumbuka siku NEC ilipomengua Dr. Slaa kwa kigezo cha kutokuwa na uzoefu wa kisiasa. Nakumbuka ilikuwa nyakati za baridi, msimu wa uchomaji mahindi watu wa karatu waliposononeshwa na uamuzi wa NEC kumuengua Dr. slaa na kurudisha Patrick Qoroo` ambaye alikuwa amechoka hata kufikiri...
  7. R

    Paprika: Paprika: Paprika: Paprika

    Thanks a lot, nitajaribu Faida Mali nione itakuwaje
  8. R

    Paprika: Paprika: Paprika: Paprika

    soko la paprika liko wapi jamani?
  9. R

    Paprika: Paprika: Paprika: Paprika

    Jamani wanajamiiforums, naomba msaada wa soko la paprika. Nina tani kati ya 50 hadi 70 kuanzia mwezi july. Kama kuna mtu anahitaji naomba msaada.
  10. R

    Mkutano wa Jangwani Mei 26: Polisi walumbana na CHADEMA!

    Ninavyofikiri, intelijensia maana yake ni kuelewa mpango mzima wa njama na kuweka mkakati wa kuuthibiti bila kuathiri haki za raia kufanya shughuli zao ikiwemo hii ya matembezi ya mshikamano. Kama wana taarifa za kiintelejensia, ina maana wanaelewa fika mchakato huo wa uvunjivu wa amani, sasa...
  11. R

    Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?!

    You men! unasema huna mtaji, ungejiajiri, hivi unafikiri mtaji wa kujiajiri ni kiasi gani? ngoja nikuambie, Tafuta kama mradi walau wa 50,000/= andaa vizuri, angali na faida yake, design marketing strategy alafu uanze. Kuna wife wa my friend alikuwa anagombana na mume wake kwa sababu anataka...
  12. R

    Live on TBC: Sherehe za kuwasha mwenge

    Mtusaidie kusikiliza masuala ya biashara ya cherry, kwani ndicho kilichomwondoa Kimolo. Nasikia Kandoro naye kapingwa stop na Pinda na ameambiwa aondoe msimamo wa mkoa mara moja kwani hii ni soko huria. Wazee mlioko Mbeya mtusaidie kama atasema chochote kuhusu hilo
  13. R

    Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

    wewe wa wapi? singidasiyo Wanyaturu peke yao, usipotoshe watu, kama hujui si ukae kimya
  14. R

    Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

    I think Singida na Dodoma ni mapacha wanaofanana katika hali ya umaskini, mikoa hiyo wananchi wana hali duni, wana njaa ya kila mwaka inayosababishwa na mvua kidogo na watu kubadilisha tabia ya ulaji inayowapelekea kuacha kulima nafaka aina ya mtama inayostahimili ukame badala yake wanakimbilia...
Back
Top Bottom