Recent content by Rolla Patrick

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Huu Huu ni uongo, mkeka wa milioni 45 wanakupaje cashout 2.5M afu imebaki timu moja umeweka over 0.5 ambayo hata odds ukiwa kubwa sana haizidi 1.5 Au kuna typing error?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Hu Huyo jamaa yako ni mpuuzi tu hata Kama kafa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu katika upambanaji naombeni ushauri, nataka kurudi kupambana na muhindi. Ni kampuni gani kutoa pesa haizungui yaani wapo instant kutoa pesa nyingi hata 5M kwa m pesa tigo pesa etc... Nilikua natumia meridianbet yaani hata 5M unaivuta mpesa haraka tu ila isiwe usiku sana au asubuhi sana...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kikohozi kwa mtoto wa umri wa mwaka 1

    Mkuu jaribu kumpeleka kwa specialist wamcheki kama ana ukungu kifuani, Kuna watoto wanazaliwa na ukungu kifuani, dawa na operation wanayatoa na Haina complication sana akiwa mdogo Wangu alikutwa na tatizo Hilo baada ya kuhangaika sana
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inaashiria nini kwenye account ya heslb?

    Dogo kamaliza form six kafaulu wewe unamfanyia application na ku track process nzima Kwanini asifanye mwenyewe?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jeans Kali kwa 17000

    Alafu omba mods waipeleke jukwaa la matangazo madogo dogo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jeans Kali kwa 17000

    Unapatikana wapi? Unafanya delivery? Mfumo wa malipo ukoje? Bei inapungua kwa wholesale? Toeni taarifa kamili sio kila mtu anapenda kujaza contacts kwenye simu....
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu wakati wa kukojoa

    Gono Hilo mkuu ila usijali hio no ajali kazini Nenda hospitali uchome sindano watakupa na vidonge antibiotics siku tano Au nunua dawa ya azuma vile 500 mg, meza vyote vitatu kwa pamoja, Kama ni vile 250mg meza vyote sita kwa pamoja, usimmeze ukiwa kazini maana lazima utaharisha itakuletea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

    Dah sijui tunaelekea wapi, hizi huduma zilipaswa kutupa unafuu wananchi kufanya miamala bila usumbufu lakini imekua ujambazi hasa hasa. Niliwahi kuhamisha laki mbili kutoka Benki kwenda mpesa nikakatwa 11,000/= hapo bado sijakutana na Makato ya mpesa, nikajikuta nakatwa karibu 16000/= kupata...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TPDC

    Dar es salaam, posta! Nilipiga field pale miaka ile hakika tpdc wanakula keki ya taifa
  11. R

    JamiiForums Tanzania NMB mnakera sana

    Haiwezekani kuanzia Jana mtandao hamna, sio atm Wala wakala, mjiangalie sana kesho mi nawahama Siwezi kuteseka na pesa zangu,
  12. R

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

    Dah
  13. R

    JamiiForums Tanzania Usajili Man Utd kulikoni?

    Unalalamika hata dirisha la usajili halijafunguliwa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuendelea kuwa Na rafiki wa namna hii?

    Dah elimu yetu changamoto kweli, yaani msomi wa advance hata kujieleza hajui
Back
Top Bottom