loupa
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 124
- 78
- Thread starter
- #21
Nikiangalia uume unatoa uchafu wenye rangi nyeupe..Sababu
1. UTI.- ili neno linabeba maana nyingi yaani tatizo au itilafu kwenye njia ya mkojo kuanzia uume wenyewe mpka kwenye kibofu. yaan urinary tract infection. Kama umemeza dawa za UTi kwa siku 7 mpka 10 ujaona UNAFUU WOWOTE basi UNAWEZA ukawa na UTI SUGU ambayo dawa yake waga zenye nguvu zaidi kama vile za sindano au vidonge vynye nguvu zaidi kama vle Azuma na nk ( sipendi kutaja dawa usije ukaacha kwenda hopitali ulaenda knunua hospitali ni muhimu mm natoa 2 uelewa na kukusanua)
2. Gonorrhoea; naanza kwa kuuliza una mda gani toka ufanye tendo la ndoa?? Unatumiga condom? Una mpenzi zaidi ya 1 ?? Ukikojoa ucha wa rangi yoyote hau unaoa harufu?
Kwa sasa ni hayo UKIJIBU HAYO AFU TWENDE SAWA
Ni wiki moja tangu kushiriki tendo....
