Recent content by ROKY

  1. ROKY

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Natafuta spare zifuatazo za Pajero IO (GDI). Naomba kama mnazo, na unauza bei gani? a.) Brake lining za matairi ya nyuma. b.) Wheel cylinder. c.) Stabilizer link za matairi ya mbele. d.) Drum za matairi ya nyuma.
  2. ROKY

    JamiiForums Tanzania Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Natafuta ice blocks molds kama hii hapa chini. Iwe medium size ya kutengeneza ice block ya kilo tano au kilo kumi.
  3. ROKY

    JamiiForums Tanzania Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Natafuta 'upright freezer', mfano wake ni hu hapa.
  4. ROKY

    JamiiForums Tanzania Nauza mashudu

    Hayo ni mashudu ya zao gani (mbegu za pamba, alizeti, sim-sim, etc) ?
  5. ROKY

    JamiiForums Tanzania Nauza dawa ya ukungu kwenye mazao

    Ukungu kama huu hapa pia inatibu ?? Itanisaidia sana kama itatibu. Asante.
  6. ROKY

    JamiiForums Tanzania Natafuta IBC tanks

    Asante sana. Nitatembelea huko.
  7. ROKY

    JamiiForums Tanzania Natafuta IBC tanks

    Wadua, bado natafuta matenki haya. Mwenye kujua wapi nitayapata kwa bei nafuu anijuze. Asanteni.
  8. ROKY

    JamiiForums Tanzania Natafuta IBC tanks

    Wadua, bado natafuta matenki haya. Mwenye kujua wapi nitayapata kwa bei nafuu anijuze. Asanteni.
  9. ROKY

    JamiiForums Tanzania Chakula cha Samaki

    Eden Agriaqua limited.
  10. ROKY

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

    Hi, Vifaranga vya sato vina ukubwa gani?
  11. ROKY

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI FUNDI WA GYPSUM

    Mtafute fundi Juma : 0655-440059, yuko Dar.
  12. ROKY

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari, mimi nakushukuru sana mwalimu,niliagiza mizigo yangu kadhaa na umenifikishia salama katika hali nzuri.Kwa kweli nimefurahia huduma yako.Kingine ni vile unavyojibu ujumbe kwa haraka,nimependa sana.
  13. ROKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Screen ya laptop inaonyesha hivi wakati wa ku-boot

    Naombeni msaada. Laptop yangu ya HP nikiiwasha, inaonyesha screen hii hapa. Tatizo ni nini?
  14. ROKY

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuchimbiwa bwawa la kufugia samaki

    Mimi nahitaji vufaranga 1,000 vya kambale. Unauzaje? Mimi niko Dar.
  15. ROKY

    JamiiForums Tanzania Umuhimu Wa kupima udongo (soil test)

    Kupima udongo ni shilingi ngapi ?
Back
Top Bottom