Umuhimu Wa kupima udongo (soil test)

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
230
405
*Green agriculture soil test package*

Kama ilivyo kwa binadamu na wanyama pale unapokula chakula chenye virutubisho bora na vivyo hivyo mwili wako unvyozid kunawiri vizuri, je? Ili mimea ikue vzr inahitaj nini? Jibu liko wazi kuwa kilichopo kwenye udongo ndio sabab tosha ya kuufanya mmea uote vzr na uweze kutoa mazao/matunda yenye ubora na afya nzr pamoja vitu vingine kama maji na mwanga

Sasa basi *Green agriculture* tunatoa huduma bora ya kupima udongo na kukupa ushaur juu ya utunzaji Wa mimea na utumiaji Wa mbolea ili uweze kupata mazao bora

Pia wasiliana nasi kwa number zifuatazo
*Engineer Lasway* 0763347985/0673000103
*Agronomist Boniface* 0719880905/0756800419

Picha ya chini inaonyesha parameters tunazopima
Karibuni sana
19e2853e45abc51e3cae325358ae27fa.jpg

424bc6998cd008d878deb7f11faae45c.jpg
 
Kupima udongo ni shilingi ngapi ?
Elf 80 per acre kwa project kubwa 5+ acres na laki moja kwa project ndogo
Hyo ni gharama ya sisi kuja shamban kuchukua udongo na kuupima pamoja na report

Karibu Eng Octavian Lasway
 
Elf 80 per acre kwa project kubwa 5+ acres na laki moja kwa project ndogo
Hyo ni gharama ya sisi kuja shamban kuchukua udongo na kuupima pamoja na report

Karibu Eng Octavian Lasway
Hiyo gharama ipo constant Regions zote?
 
Back
Top Bottom