Recent content by Roho Mbaya

  1. Roho Mbaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Tatizo lenu wanawake mkishapata ndoa, mnajisahau mnaona mmemaliza kila kitu hata penzi (tendo la ndoa) tunapata kwa shida hivyo lazima tujiongeze kukabiliana na hali
  2. Roho Mbaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii haina code
  3. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi yetu yote hakuna sehemu kuna mafuta tuchimbe?

    Yapo ziwa nyasa ingawa wamalawi wanasema ziwa ni la kwao
  4. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Msaada magari ya IT ya kwenda Mwanza usiku

    Hakuna IT inayofika Mwanza zote zinaishia njia panda ya kuelekea kahama
  5. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Ameanza kampeni za urais sasa ni zamu ya kanisa kwa kanisa
  6. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Hizi hizi Degree za ustawi wa jamii na Kisanji
  7. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Tambua kuwa dini zilikuja kwa meli, Kazi ni msitakabali wa Maisha yako tofauti na hapo kuwa mchungaji
  8. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Serikali zuieni chakula kuuzwa nje ya nchi, hali ni ngumu. Mbona mmeziba masikio?

    Serikali ianzishe mashamba yake, mimi hapa shambani kwangu nimelima mahindi ya biashara na akiba ya kutosheleza mwaka huu
  9. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Harafu TRA wanasema hakuna mapato. Migahawa ya vyakula imejaa wateja na hakuna anaetoa risiti wala kudai risiti

    Kila siku naenda kula kwa SHISHI FOOD sipewi risiti
  10. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili iwe sera mahususi ya uzazi wa mpango kwa Tanzania ya sasa

    Serikali inachoweza ni kuoengeza tozo tu
  11. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Ole Sabaya, Polepole nawatabiria kuwa viongozi wakubwa baadae wa nchi hii

    Hukumu ya sabaya imetenguliwa kwahiyo hana jinai
  12. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Kwa bahati nzuri nimepata abiria wangu, ingawa kwa leo nimepata watatu bado ipo nafasi moja, tuendelee kupeana moyo hii ni njia mojawapo ya kupambana na ugumu wa Maisha sioni haja ya kuvunjana mimi nimeweka hapa jamii forum, lakini kuna member wengi humu hii hoja wameichua na wameanza kuifainyia...
  13. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    ID isikuogopeshe ni majina tu hayo
  14. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Kwa wale walionicheki Pm ntawapitia kwenye vituo kama tulivyoelekezana
  15. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Kitimoto nacho BEI JUU!

    Itashuka sababu ilikuwa mwezi wa ramadhani
Back
Top Bottom