Nataka kuchukua diploma ya mechanical engineering na nmechaguliwa DIT na NIT. Kozi ya diplo kwa waliomaliza form6 kama mimi ni miaka miwili NIT lakini DIT ni lazima miaka mitatu. Naombeni ushauri wenu nikasome wapi?
Niadje ndugu unaesoma Uzi huu kwa wakati huu?.. Wakorea wanasifika sana kwa utunzi mzuri wa story ktk season zao. Je ni season gani kali uliyowahi kuitazama ukaipenda? Tutajie jina la season yoyote ile uliyoipenda iwe ya kichina, kikorea au hata ya kizungu na ni kwa nini umeipenda season hiyo...
Ndugu yangu mwenye umri wa miaka 19 anatatizo la kuwa na Kitovu kikubwa, akaulizia kwenye maduka ya madawa asili akaambiwa dawa yake itakuwepo ila akaulizie jina la hiyo dawa kwa wataalam wa dawa za asili. Kama kuna mtu anajua jina la hiyo dawa ya kurudisha Kitovu ndani naomba anitajie.
Habar wapendwa wana JF, natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing level ya certificate kilichopo Dar Es Salaam naombeni mnitajie .
Baadhi ya watu huamini hamna tiba ya chunusi ila dawa huzipunguza tu. Je ulisha wahi kuwa na chunusi zikaisha kabisa? Tuambie ulifanyaje tufaidike pamoja.
Naomba nkuulize. Kwa nnavyo fahamu fluoride compound ndiyo inayosafisha meno ingawa ina side effects. Sasa kama hiyo dawa haina fluoride inasafisha kweli?